kwakweli, wema na diamond wajitafakari sana kwenye uhusiano wao na uzao wao ujao.......what did i say?😀😀Hii ndo best couple Tz kwa upande wa wasanii wa bongo flavour.
Mbona poa tuMambo gani sasa hayo yakuachia tumbo hivo mi nakerwa jaman mwanamke ukiwa katika hali hiyo unatakiwa ujistiri looh uzungu huu[emoji46]
Mmm mi kwangu kichefuchefu ptuuMbona poa tu
BeyonceHii fasheni ya kuonesha matumbo sijui nani aliileta
Mambo gani sasa hayo yakuachia tumbo hivo mi nakerwa jaman mwanamke ukiwa katika hali hiyo unatakiwa ujistiri looh uzungu huu[emoji46]
Hii fasheni ya kuonesha matumbo sijui nani aliileta
Hahaa kumbe sasa imetokea wapi hii styleHata Wazungu hatufanyi hivyo!!
Wadada buana.. Yan hao miaka tisa na wanapendeza.. Mie apa manzi siku tatu anadai ndoa... Dadaeq..Baada ya kukana kwa kipindi kirefu kuwa na ujauzito hatimae aika aonyesha hadharani tumbo lake
View attachment 618552
Inasemekana ni ujauzito wa Nahreel ambaye ni mpenzi wake na pia msanii mwenzie kwenye group la navykenzo, waliyedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka tisa
View attachment 618551
mmh tunatofautiana asee mi hapanaDemi Moore. Hakuna ubaya kupiga picha za hivi kwa maoni yangu.