Msanii Aika wa navykenzo aonesha ujauzito wake

Msanii Aika wa navykenzo aonesha ujauzito wake

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Baada ya kukana kwa kipindi kirefu kuwa na ujauzito hatimae aika aonyesha hadharani tumbo lake
22710827_517996298580777_4633539439094661120_n.jpg

Inasemekana ni ujauzito wa Nahreel ambaye ni mpenzi wake na pia msanii mwenzie kwenye group la navykenzo, waliyedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka tisa
22581975_123678238304085_4479976744601780224_n.jpg
 
Mambo gani sasa hayo yakuachia tumbo hivo mi nakerwa jaman mwanamke ukiwa katika hali hiyo unatakiwa ujistiri looh uzungu huu[emoji46]
Mbona poa tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Baada ya kukana kwa kipindi kirefu kuwa na ujauzito hatimae aika aonyesha hadharani tumbo lake
View attachment 618552
Inasemekana ni ujauzito wa Nahreel ambaye ni mpenzi wake na pia msanii mwenzie kwenye group la navykenzo, waliyedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka tisa
View attachment 618551
Wadada buana.. Yan hao miaka tisa na wanapendeza.. Mie apa manzi siku tatu anadai ndoa... Dadaeq..
 
Back
Top Bottom