Msanii Aika wa navykenzo aonesha ujauzito wake

Hongera zao..



Japo sio kila kitu chafaa kuigwa
 
Demi Moore. Hakuna ubaya kupiga picha za hivi kwa maoni yangu.
Kama kweli unatokea jamii zetu zenye mila zetu ni sahihi kweli wadogo zako na hivyo pia hata baba yako kuona mtumbo wa mke wako tena akiwa na chupi tuu???
Basi ni sahihi hata akiwa anakuja kuwatembelea akiwa uchi labda kaficha papuchi tuu sio
 
Kama picha za models ndani ya swimsuit lakini huyu ana ujauzito. Ni kumbukumbu nzuri sana kwa familia.
Tuache uzungu na unafiki ndugu zangu...hebu tufanye huyo hapo chini ni mama yetu Mimi na wewe na kichupi na mimapaja hiyo nje kweli ni busara kweli
 
Sasa hivi wataanza kuja hospital uchi na matumbo,halafu ngoja mumgasi mpokee mitusi
 
Kwani kuna mtu kakulazimisha? Kama hutaki uzungu kavae magome ya miti. Wanaotaka kupiga picha hizo ni hiari yao msiingilie uhuru wa Watu kwenye maamuzi yao.

Hajavunja sheria yoyote ile ya nchi.

Tuache uzungu na unafiki ndugu zangu...hebu tufanye huyo hapo chini ni mama yetu Mimi na wewe na kichupi na mimapaja hiyo nje kweli ni busara kweli
 
Huyu dada sijawahi ona picha yake amevaa chupi / kuacha tumbo wazi ila kaja kufanya hivyo kwenye ujauzito, hii inamaanisha nini? Sipatii picha siku Giggy Money akipata ujauzito, nadhani umeshaelewa kitachotokea[emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] gigy
 
Miaka 9?jamaa alikuwa anachukua phd ya mapenzi ama??haya ndo mahusiano sugu haya.
Ila hii fashion ya kuanika matumbo kipindi cha ujauzito hapana kwakwel
 
Maadili Maadili Maadili. Kweli Mungu hayupo... maana kuzaa nje na kabla ya ndoa kawaida sasa.
 
Posing in a luxe marbled swimming pool with an exposed pregnant belly and having brunch at a high-end bistro with Whitey in the background must be a surefire indication our One-Ht-Wonder duo have finally made it.
 
Maadili Maadili Maadili. Kweli Mungu hayupo... maana kuzaa nje na kabla ya ndoa kawaida sasa.
Mungu yupo na hawahi wala hachelewi mkuu.saa yaja asema Bwana wa majeshi nae atajifunua uso wake katika uso wa nchi hapana atakaye mtazama.ndipo wataenda milimani na kuomba iwafunike milima itakimbia,watajitupa baharin nayo bahari itawatapika,watatamani ardhi ipasuke waingie nayo itawakimbia.mwenye kusikia na asikie neno Roho ayaambia makanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…