Hahahaaaaaaa ukakutana na ile vice versa is truuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Haya ma camera 360 yanadanganya sana huyu dada siku niliyomuona live dah sikuamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaaa ukakutana na ile vice versa is truuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Haya ma camera 360 yanadanganya sana huyu dada siku niliyomuona live dah sikuamini
Kama kweli unatokea jamii zetu zenye mila zetu ni sahihi kweli wadogo zako na hivyo pia hata baba yako kuona mtumbo wa mke wako tena akiwa na chupi tuu???Demi Moore. Hakuna ubaya kupiga picha za hivi kwa maoni yangu.
Tuache uzungu na unafiki ndugu zangu...hebu tufanye huyo hapo chini ni mama yetu Mimi na wewe na kichupi na mimapaja hiyo nje kweli ni busara kweliKama picha za models ndani ya swimsuit lakini huyu ana ujauzito. Ni kumbukumbu nzuri sana kwa familia.
Tuache uzungu na unafiki ndugu zangu...hebu tufanye huyo hapo chini ni mama yetu Mimi na wewe na kichupi na mimapaja hiyo nje kweli ni busara kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] gigyHuyu dada sijawahi ona picha yake amevaa chupi / kuacha tumbo wazi ila kaja kufanya hivyo kwenye ujauzito, hii inamaanisha nini? Sipatii picha siku Giggy Money akipata ujauzito, nadhani umeshaelewa kitachotokea[emoji3]
mmh beyonce hii juzi? mbona beyonce kaikuta hii fashion, imetamalaki ....Beyonce
Si maanishi ndiye kaanzisha namaanisha ndiye kawainspire hawa wa kwetummh beyonce hii juzi? mbona beyonce kaikuta hii fashion, imetamalaki ....
Mungu yupo na hawahi wala hachelewi mkuu.saa yaja asema Bwana wa majeshi nae atajifunua uso wake katika uso wa nchi hapana atakaye mtazama.ndipo wataenda milimani na kuomba iwafunike milima itakimbia,watajitupa baharin nayo bahari itawatapika,watatamani ardhi ipasuke waingie nayo itawakimbia.mwenye kusikia na asikie neno Roho ayaambia makanisa.Maadili Maadili Maadili. Kweli Mungu hayupo... maana kuzaa nje na kabla ya ndoa kawaida sasa.
Hata Mie piaMama kijacho
serious??? Kapicha tafadhali auHat
Hata Mie pia
Ndio, nikutumie pm au huku jukwaani?serious??? Kapicha tafadhali au