Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
PM KUPO WAZINdio, nikutumie pm au huku jukwaani?
Haaa haaaa haaa eti kupo waziPM KUPO WAZI
Kama hamisa na chibu 9yrzzzzzBaada ya kukana kwa kipindi kirefu kuwa na ujauzito hatimae aika aonyesha hadharani tumbo lake
View attachment 618552
Inasemekana ni ujauzito wa Nahreel ambaye ni mpenzi wake na pia msanii mwenzie kwenye group la navykenzo, waliyedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka tisa
View attachment 618551
Amebaki jina tu. Hakuna jambo wanadamu wanafanya kwa kufuata maandiko matakatifu. Na wakisema wanafuata basi ni juu juu tu.Mungu yupo na hawahi wala hachelewi mkuu.saa yaja asema Bwana wa majeshi nae atajifunua uso wake katika uso wa nchi hapana atakaye mtazama.ndipo wataenda milimani na kuomba iwafunike milima itakimbia,watajitupa baharin nayo bahari itawatapika,watatamani ardhi ipasuke waingie nayo itawakimbia.mwenye kusikia na asikie neno Roho ayaambia makanisa.
Le mbebezz au wewe huonagi anaonyesha tumbo lake ndani ya shati kma shukaHii fasheni ya kuonesha matumbo sijui nani aliileta
ndio ndio hapa wasione[emoji12] [emoji12] [emoji12]Haaa haaaa haaa eti kupo wazi
Balaaaa juu ya balaaaHuyu dada sijawahi ona picha yake amevaa chupi / kuacha tumbo wazi ila kaja kufanya hivyo kwenye ujauzito, hii inamaanisha nini? Sipatii picha siku Giggy Money akipata ujauzito, nadhani umeshaelewa kitachotokea[emoji3]
Baada ya kukana kwa kipindi kirefu kuwa na ujauzito hatimae aika aonyesha hadharani tumbo lake
View attachment 618552
Inasemekana ni ujauzito wa Nahreel ambaye ni mpenzi wake na pia msanii mwenzie kwenye group la navykenzo, waliyedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka tisa
View attachment 618551
πππLe mbebezz au wewe huonagi anaonyesha tumbo lake ndani ya shati kma shuka
Angepiga kwa kumbukumbu yake sawa. Ila kuweka mtandaoni sielewi dhamira hapo!Hahaa kumbe sasa imetokea wapi hii style
Lile sio tumbo ni pipaπππ
Lile tumbo au kiroba?
Mkuu Mungu yupo na nihalisi kabisa,amesha kwambia mchafu na ajichafue sana na mtakatifu azidi kujitakasa.maana muhuri wa Bwana ndio huu BWANA AWAJUA WALIO WAKE NAO WANAMTAMBUA.Amebaki jina tu. Hakuna jambo wanadamu wanafanya kwa kufuata maandiko matakatifu. Na wakisema wanafuata basi ni juu juu tu.
Flolar mbashaHii fasheni ya kuonesha matumbo sijui nani aliileta
Best couple wanazini miaka tisa wakati kufunga ndoa ni bure tuHii ndo best couple Tz kwa upande wa wasanii wa bongo flavour.
Thank you for your elaboration and let's leave it at that. Ni kitu kizuri kama umeokoka au unaamini uwepo wake lakini mimi naona dunia haiendeshwi na matamko ya Mungu kwa asilimia kubwa tu.Mkuu Mungu yupo na nihalisi kabisa,amesha kwambia mchafu na ajichafue sana na mtakatifu azidi kujitakasa.maana muhuri wa Bwana ndio huu BWANA AWAJUA WALIO WAKE NAO WANAMTAMBUA.
~soma kutoka 3:14
Ufunuo 1:8
Mkuu wewe hujawahi kuzini?! Kuwa mkweli Mungu anakuona.Best couple wanazini miaka tisa wakati kufunga ndoa ni bure tu
Nimesahau andiko lkn biblia inasema hiv,walipoona wamechoka kuongozwa na Mungu waliasi,uasi ni matokeo ya dgambi.Thank you for your elaboration and let's leave it at that. Ni kitu kizuri kama umeokoka au unaamini uwepo wake lakini mimi naona dunia haiendeshwi na matamko ya Mungu kwa asilimia kubwa tu.