Msanii Aika wa navykenzo aonesha ujauzito wake

Msanii Aika wa navykenzo aonesha ujauzito wake

Sasa miaka tisa wanasubiri muujiza gani tena siwafunge ndoa tu ya halali 😵
 
Mungu yupo na hawahi wala hachelewi mkuu.saa yaja asema Bwana wa majeshi nae atajifunua uso wake katika uso wa nchi hapana atakaye mtazama.ndipo wataenda milimani na kuomba iwafunike milima itakimbia,watajitupa baharin nayo bahari itawatapika,watatamani ardhi ipasuke waingie nayo itawakimbia.mwenye kusikia na asikie neno Roho ayaambia makanisa.
Amebaki jina tu. Hakuna jambo wanadamu wanafanya kwa kufuata maandiko matakatifu. Na wakisema wanafuata basi ni juu juu tu.
 
Huyu dada sijawahi ona picha yake amevaa chupi / kuacha tumbo wazi ila kaja kufanya hivyo kwenye ujauzito, hii inamaanisha nini? Sipatii picha siku Giggy Money akipata ujauzito, nadhani umeshaelewa kitachotokea[emoji3]
Balaaaa juu ya balaaa
 
Amebaki jina tu. Hakuna jambo wanadamu wanafanya kwa kufuata maandiko matakatifu. Na wakisema wanafuata basi ni juu juu tu.
Mkuu Mungu yupo na nihalisi kabisa,amesha kwambia mchafu na ajichafue sana na mtakatifu azidi kujitakasa.maana muhuri wa Bwana ndio huu BWANA AWAJUA WALIO WAKE NAO WANAMTAMBUA.

~soma kutoka 3:14
Ufunuo 1:8
 
Thank you for your elaboration and let's leave it at that. Ni kitu kizuri kama umeokoka au unaamini uwepo wake lakini mimi naona dunia haiendeshwi na matamko ya Mungu kwa asilimia kubwa tu.
 
Thank you for your elaboration and let's leave it at that. Ni kitu kizuri kama umeokoka au unaamini uwepo wake lakini mimi naona dunia haiendeshwi na matamko ya Mungu kwa asilimia kubwa tu.
Nimesahau andiko lkn biblia inasema hiv,walipoona wamechoka kuongozwa na Mungu waliasi,uasi ni matokeo ya dgambi.

~Kwakua waliamua kuongozwa na tamaa zao na akili zao wenyewe Bwana akaficha uso wake hata wasi uone tena.ndipo wakafanya machukizo mbele za Bwana na dhambi ya uovu wao ikapiga kelele mpaka mbinguni.

Note;Tumemtangulia Mungu mbele na kuona akili zetu zinafaa.tumesahau Mithali 3:5-6
 
Nahreel na Aika wanatarajia kupata mtoto wa kwanza, wapongezwa na mastaa kibao
 
Back
Top Bottom