Msanii Aika wa navykenzo aonesha ujauzito wake

Hii fasheni ya kuonesha matumbo sijui nani aliileta
Hii nadhani aliianza Kim Kardashian.. sasa hawa wenzetu bongo wanaiga... Inakera kweli kumuona mdada na litumbo lake tena yupo uchi.. inachukiza sana
 
Hahahah 360 si mchezo aisee mi haya mapicha huwaga siyaamini kama ndivyo walivyo..baada ya kumuona lulu na jidee kumbe ni wafupi sana kama watoto.. halaf rangi zao ni kawaida tuuu
hahahahhhah
 
Washamaliza kujenga ghorofa lao la milioni 700 au Wanafyatua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…