Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Hongera zao maana Hawa nao walikuwa na uchumba sugu atleast wameboresha kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zao maana Hawa nao walikuwa na uchumba sugu atleast wameboresha kidogo
Hii nadhani aliianza Kim Kardashian.. sasa hawa wenzetu bongo wanaiga... Inakera kweli kumuona mdada na litumbo lake tena yupo uchi.. inachukiza sanaHii fasheni ya kuonesha matumbo sijui nani aliileta
Mi binafsi sipendiHii nadhani aliianza Kim Kardashian.. sasa hawa wenzetu bongo wanaiga... Inakera kweli kumuona mdada na litumbo lake tena yupo uchi.. inachukiza sana
hahahahhhahHahahah 360 si mchezo aisee mi haya mapicha huwaga siyaamini kama ndivyo walivyo..baada ya kumuona lulu na jidee kumbe ni wafupi sana kama watoto.. halaf rangi zao ni kawaida tuuu
Sio miaka tisa lakini dooh..!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu wewe hujawahi kuzini?! Kuwa mkweli Mungu anakuona.
Yaan twafa kwa kuigaHii fasheni ya kuonesha matumbo sijui nani aliileta