TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

madawa ya kulevya mabaya sana vijana tujihadhari jamani tutaangamia.
 
who was he?

Haahahaa! Unanitia aibu sasa.

Huyu ndo aliimba ule wimbo wa kupokea simu na SMS za wizi mtupu kama ile thread yako SMS za wizi.

"Nyingine za machizi nyingine za mademu....Mwingine ana-beep kucheki kama ..... ". Wizi mtupu huu.

He was an aspiring artist ila inasemekana alikuwa anakula sana sembe.

Kama ni kweli amefariki basi, moja ya lines za investigation itakuwa ni kucheki kama alizidisha sembe.

[video=youtube_share;aSIfUSN5_gw]http://youtu.be/aSIfUSN5_gw[/video]
 
Hii theard imevunja rekodi kwa kuhamishwahamisha.!!
 
RIP Ngwair
Naona BBC hata wametangaza kifo chake. Sat with him once na yule girlfriend wake mzungu.....he was using then 07 like hakuna kesho i can imagine hadi sasa imekuwa mbaya kufikia kifo
 
Habari zaidi toka kwa mamaye mzazi zinasema ya kwamba Ngwea mara ya mwisho kuwasiliana naye ni kama wiki mbili zilizopita na hata safari ya south Africa hana habari kwamba alikuwa huko!

Mwenyenzi MUNGU mwenye mamlaka ya yote amlaze marehemu mahala pema peponi!

Amen!
 
'wee inaonyesha ni mzee flani wa maofisi ya maghorofani kabisa mitaa ya posta aisee hauwajui kabisa hawa jamaa wa kitaa si ndio............la sivyo utakuwa mmaza flani labda ticha hivi au mtu wa dini kabisa type za kilokole hauko na mambo ya kidunia safi sana,ni msanii kafa'

Huyo asiyemjua Ngwea anatoka wap?kwanza ni limbukeni anapenda kiinglish nenda kalale
 
Alikuwa mwema hakupenda ubishoo aliwapenda watu apumzike kwa amani milele amina
 
Duh! Ngwea...pumzika salama!! Mikasi ilibamba mbaya!! Poleni Chemba Squad!!
 
Back
Top Bottom