Dr Ntinkutina.
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 309
- 55
Amefariki, ni kweli kabisa na imethibitishwa hivyo. Rip Mangwea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
who was he?
RIP brodaaa
Ndugu wa marehemu.kama akiletwa hapa tanzania kwa mzishi hakikisheni mnamuangalia sehemu za tumbo,si ajabu alikuwa anabeba yale mambo yale!
Ndugu yangu huyo mgogo mwenzangu, apumzike kwa amani kama ni kweli!
'wee inaonyesha ni mzee flani wa maofisi ya maghorofani kabisa mitaa ya posta aisee hauwajui kabisa hawa jamaa wa kitaa si ndio............la sivyo utakuwa mmaza flani labda ticha hivi au mtu wa dini kabisa type za kilokole hauko na mambo ya kidunia safi sana,ni msanii kafa'
amani kwa Kaka Voda Milionea
Washtue wanao waache poda wale mmea... Jipange...