King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
"M to the P anajua track hii"--Dark Master
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unless we've clear medical definition of what poisoning really is, but all in all, everything possible! BTW, mwenyeji wao aliphojiwa na na Clouds, amedai kwamba ameshindwa kuelewa source ya kifo ni nini coz' medical report imeandikwa kiingereza na yeye lugha haipandi!! Ukiangalia kwa makini, madai haya ni kama kuna kitu anafunika coz' it doesn't make any sense kwamba hapakuwa na mtu anayeelewa kilichoandikwa!! all in all, rip mnyamwezi; kitu "napokea simu" kitakuwa always my favorite old hit!When it comes to investiagtion hasa juu ya kifo cha mtu never rule out anything.
BTW, kwani sembe siyo "some sort of poisoning"?
CLOUDS FM inawauwa wasanii, inawatumiA then ina wadump mwisho wa siku wanakuwa Mateja.
South africa kuna umafia mwingi inawezekana kawekewa hata sumu kwenye kinywaji.
mateja yote ya mwananyamala, temeke, ilala, kigogo, manzese, kinondoni, kariakoo, clouds ndiyo wamewafanya wavute poda acha porojo.
Nafikiri kikubwa ni kusubiri taarifa zote mbili za safari yake na za kifo chake tunaweza kung'ang'ania sembe kumbe haikuwa hivyo labda wahuni wa S.A wamemwekea sumu
Kwa sasa haijulikani alienda kufanya nn, na imekuaje hadi akawa hvyo na mtu ambae anaweza kutoa ukweli ni mwenzake ambae yeye yuko mahututi
Tuwaombee wote Albert alazwe pema peponi na M to the P apate ahueni
Sio kuanza kuhukumu moja kwa moja pia kama chanzo ni madawa listi ya rumors za watumiaji (wasanii) inajulikana jamii ifikirie namna na jinsi ya kuwaokoa sio kujaza post na thread za R.I.P tu inakuwa haina maana kujikosha kwa marehemu wakati kuna watu wa kuwaokoa pia
Source: akili yangu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
BANGI, UNGA & POMBE @ par.
Lazima ulale!!
Kwa taarifa zilizorushwa na kituo cha redio Clouds FM ni kwamba mwanamuziki Albert Mangwea amefariki dunia akiwa south Africa.
![]()
Taarifa zaidi zitafuatia.
-------------
Albert Mangwea maarufu kama Ngwair alikua mmoja wa washiriki wa kikundi cha muzika cha Chamber Squad kikiwa na washiriki kama Jeez Mabovu na wengine.
Hapa karibuni amekuwa akihusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya ingawa haijawahi thibitishwa na ilikuwa ni habari kwa muundo wa 'rumor'.
Alijizolea umaarufu kwa nyimbo kama Mikasi na Nisikilize Mi na nyingine nyingi alizowahi shirikishwa na wasanii kama Professa Jay, Nuru, TID, Chidi Benz n.k.
May he Rest In Peace.