TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

CLOUDS FM inawauwa wasanii, inawatumiA then ina wadump mwisho wa siku wanakuwa Mateja.
 
When it comes to investiagtion hasa juu ya kifo cha mtu never rule out anything.

BTW, kwani sembe siyo "some sort of poisoning"?
Unless we've clear medical definition of what poisoning really is, but all in all, everything possible! BTW, mwenyeji wao aliphojiwa na na Clouds, amedai kwamba ameshindwa kuelewa source ya kifo ni nini coz' medical report imeandikwa kiingereza na yeye lugha haipandi!! Ukiangalia kwa makini, madai haya ni kama kuna kitu anafunika coz' it doesn't make any sense kwamba hapakuwa na mtu anayeelewa kilichoandikwa!! all in all, rip mnyamwezi; kitu "napokea simu" kitakuwa always my favorite old hit!
 
Dogo alikuwa na uwezo mkubwa sana lakini alikuwa hajitambui. Angetulia na kuufanya muziki kama kazi angefika mbali sana. R.I.P
 
CLOUDS FM inawauwa wasanii, inawatumiA then ina wadump mwisho wa siku wanakuwa Mateja.

Mateja yote ya Mwananyamala, Temeke, Ilala, Kigogo, Manzese, Kinondoni, Kariakoo, Clouds ndiyo wamewafanya wavute poda acha porojo.
 
South africa kuna umafia mwingi inawezekana kawekewa hata sumu kwenye kinywaji.
 
Sasa ni wakati wa Shigongo kuuza tena maudaku yake ,mwezi woye itakuwa ni Mangwair news tu
 
BANGI, UNGA & POMBE @ par.
Lazima ulale!!
 
mateja yote ya mwananyamala, temeke, ilala, kigogo, manzese, kinondoni, kariakoo, clouds ndiyo wamewafanya wavute poda acha porojo.

mkuu ritz heshima kwako..
Je serikali haina mkono mrefu kuwakamata hao wanaoingiza hayo madawa ya kulevya mpaka tunapoteza vijana wabichi kaama hao.. Na huku maeneo yoote hayo uliyoyatja yanafahamika kwa hiyo biashara, intelejensia imella?? Unakumbuka raisi wetu 2010, na 2005 alisema anayomajina ya wauza madawa ya kulevya na atawafunga jela... Vip?? Ilikuwa ni gia ya kura???
 
Nafikiri kikubwa ni kusubiri taarifa zote mbili za safari yake na za kifo chake tunaweza kung'ang'ania sembe kumbe haikuwa hivyo labda wahuni wa S.A wamemwekea sumu

Kwa sasa haijulikani alienda kufanya nn, na imekuaje hadi akawa hvyo na mtu ambae anaweza kutoa ukweli ni mwenzake ambae yeye yuko mahututi

Tuwaombee wote Albert alazwe pema peponi na M to the P apate ahueni

Sio kuanza kuhukumu moja kwa moja pia kama chanzo ni madawa listi ya rumors za watumiaji (wasanii) inajulikana jamii ifikirie namna na jinsi ya kuwaokoa sio kujaza post na thread za R.I.P tu inakuwa haina maana kujikosha kwa marehemu wakati kuna watu wa kuwaokoa pia

Source: akili yangu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ur veri right mkuu,let us not judge before we have full information
 
BANGI, UNGA & POMBE @ par.
Lazima ulale!!

Pombe na Unga vinaua, ila Bangi yenyewe haiwezi kuua mtu na ni least drug yenye effect ndogo kwa adults.

Utafiti unasema ili mtu afe kutokana na overdose ya Marijuana, labda avute joints 1700 ndani ya dakika 20, na kitakachomuua sio chemical ya Marijuana (TH Canabinoid) bali ni Carbondioxide.

Source: Neurologist's
 
Kwa taarifa zilizorushwa na kituo cha redio Clouds FM ni kwamba mwanamuziki Albert Mangwea amefariki dunia akiwa south Africa.

5.jpg

Taarifa zaidi zitafuatia.

-------------

Albert Mangwea maarufu kama Ngwair alikua mmoja wa washiriki wa kikundi cha muzika cha Chamber Squad kikiwa na washiriki kama Jeez Mabovu na wengine.

Hapa karibuni amekuwa akihusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya ingawa haijawahi thibitishwa na ilikuwa ni habari kwa muundo wa 'rumor'.

Alijizolea umaarufu kwa nyimbo kama Mikasi na Nisikilize Mi na nyingine nyingi alizowahi shirikishwa na wasanii kama Professa Jay, Nuru, TID, Chidi Benz n.k.

May he Rest In Peace.

R.I.P ma broda
 
Back
Top Bottom