Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Mbona unasema maneno mengi?
Kama na wewe humjui kaa hapa tuambiwe
Kama unamjua nambie basi ni nani nimjue
Pombe nyingi sana zimemuua
Pombe nyingi sana zimemuua
View attachment 95442P.K.A Ngwea
Ndugu yangu huyo mgogo mwenzangu, apumzike kwa amani kama ni kweli!
Dah!! Kama watu wanasema alilala then hajaamka lazima itakua kitu cha Diego/Sembe.R.I.PAlbert Mangwea? Sembe au ajari