TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

aisee CowObama umetutoka kamanda kweli????..mbn last time tumegonga sana vyanda na hukusema kama unaenda SA hurudi..?
Return If Possiple..CowObama...tuendelee East Zoo
 
2.JPGP.K.A Ngwea
 
Taarifa zilizonifikia hiv punde ni kuwa albert mangwair hatunaye tena dunian amefia afrika kusini,taarifa zaidi zitasambaa hiv karibuni,rest in peace
 
kamanda wangu CowObama hata siamini kama umetutoka...Mwanachemba kweli..kabisaaa.."mungu amlaze mahali pema panapomstahili
 
Dah!Mwanachemba aisee ni nn kilikupata jembe langu?Roho imeniuma sana,Dom tumepoteza illest Mc ever grace the mic..,..R.I.P Kaobama

Nitakulilia sana jembe langu
 
Gone too soon brother.... Naisikilizaga sana ngoma yake ya "ahadi za boss" akiwa na wenzake wa Chamber Squad, sijawahi kuichoka hii ngoma! Japo stail yake ya hapa mwishoni nilikuwa siikubali ila sijawahi kukataa uwezo na kipaji chako!
Pumzika kwa amani Ngwea.
 
siamini aisee..nipo mbali na nyumbani ngojea ni confem kwa washikaji
 
rtsp://v2.cache8.c.youtube.com/CjMLENy73wIaKglvNVxQH0SJIRMYJCAkFEIGbXYtcmltSARSBXdhdGNoYJT2vP3F0oq7UQw=/0/0/0/video.3gp
 
Nilianza kumkubali kwenye wimbo wake wa dakika 1, nayakumbuka sana haya maneno "Naomba unipe japo dakika moja tu, ya kuongea mimi na wee". R. I. P Ngwea aka mzee wa Dom.
 
R.I.P, tutakukumbuka kwa kazi yako ama kwa hakika pamoja na wenzako mliweka milestones ambazo wenzenu sasa wanapita kwa urahisi japo nyie mlitaabika
 
Ngoja apumzike maana udongo huurudia udongo na majivu huyarudia majivu.
No way sote tuko safari moja.
 
Back
Top Bottom