TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

Duh....alijioverdose kumbe..rip ngwea.
 
hi hi hii.Watu mna uchokozi sana..
 
Mangwea jamani kweli ni mangwea hapana dah rip mangwea.
 
Wana jamii forums mnaspeed 120,,,kwa kupata taarifa,,,mtakesha leo kama cnn mkitoa taarifa,
 
Ngwea alikuwa ni miongoni mwa wasanii wachache wa bongo niliokuwa nawakubali sana. Huyu kijana alikuwa na kipaji kisichokuwa na shaka hata kidogo. Sema baada ya kuanza kutumia ile kitu, matatizo yakawa yameanzia hapo!
 
daaaaah .................siamini!!!!!!!!!!!
yani nimeshtuka balaaaaaaaa...................unanihusu sana huu msiba!!!!! daaah!
Rip Albert!
 
Last edited by a moderator:
Duh. . .Drugs mbaya sanaaa. .
Hope alipata tym ya kutubu. .
 
daaaaah .................siamini!!!!!!!!!!!
yani nimeshtuka balaaaaaaaa...................unanihusu sana huu msiba!!!!! daaah!
Rip Albert!
Pole sana Paloma kwa msiba.Mungu akupeni nguvu na amani kipindi hiki cha majonzi
 
Last edited by a moderator:
kama ni madawa arobani ilifka maana pamoja na kuwa tutakufa tunalinda uhai wetu ili mungu mwny aje ahucke co kujitakia
 
Hahaha, umenichekesha Mkuu, Kusema kweli ni wachache wasiomfahamu huyu kijana, hata sisi wa kitambo tunamkumbuka kwa sababu ni mmoja wa vijana wa mwanzo kuigaiga miondoko ya vijana wa US, wakiwa na wakina Noorah, na Rah P, na mdada gani yule alikuwa Mzuri sana mweupe anatoka Shinyanga kama skosei. Enzi hizo miziki yao inapigwa sana kwenye televisheni ilikuwa haiepukiki kuwafahamu, labda kama una matatizo mengine!

Maelezo ya awali yanaonesha ni Sembe ndiyo inaweza kuwa chanzo, vijana mjiepushe kabisa na unga, ni heri weed kuliko UNGA.

Pumzika Kwa Amani Kijana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…