TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

Na nyie mods mbona mna kiherehere hivyo? Ndo nini sasa kuihamisha hamisha hii mada...mara muipeleke selebrite mara muilete habari mchanganyiko mara muirudeishe tena selebrite....mmelewa gongo nyie?
 
Vijana wanaochipukia wanahitaji ushauri nasaha ili wajiepushe na mambo yanayoleta maafa kama utumiaji wa madawa ya kulevya.
 
#FAHAMU sammisago 1m #BREAKING Nazidi kupokea habari kutoka S Africa Pretoria Kuwa
Ngwear Hajafa, Kuna Kundi La Vijana
Wanasambazi hizi taarifa kwa ndugu
zao TZ
 
Last edited by a moderator:
Wewe sio Mtanzania na ni ant social that is why you ask that question.

sio kila mtu anapenda kile kinachopendwa na wote
kuna mwingine mieleka,mpira,bongo freva na wakina mimi gospel kila mtu ana ushabiki anapopajua yeye!!
Mf, 1.mimi binafsi Ngwear namjua coz kipindi anaanza kuimba nilikuwa napenda sana bongo freva lkn kwasasa hata ukiniambia Godizilla hata sura siijui naskiaga jina tu coz sio mshabik!
2. Kuna watu nawasikiaga waktajwa majina yao vijiwen kwenye ubshan wa mpila J.kaseja
na M.ngasa lakn hata ukipanga team nzima siwez kuwapoint coz siwajui na wala sjui ni wa club gani!!
Basi usimlaumu mwenzio!!
Yote kwa yote
R.i.p A.Mangwear
 
angalia hapa kupitia Youtube http://-www.youtube.com/watch?v=CMASkXQIrvM
 
Na nyie mods mbona mna kiherehere hivyo? Ndo nini sasa kuihamisha hamisha hii mada...mara muipeleke selebrite mara muilete habari mchanganyiko mara muirudeishe tena selebrite....mmelewa gongo nyie?
Wewe unawaambia wenzio wamelewa chang'aa? Watakubani...
 
Poleni ndugu na jamaa wa Mangwea, hasa wasanii, Madawa yamekuwa ni tatizo kubwa sana hasa kwa wasanii wetu!
 
RIP mangwea, cjui kwanini vijana wanapoteza uhai wao mapema hivi? Angali wakitegemewa kama nguzo ya Taifa hili
 
#FAHAMU sammisago @nikkwapili noma, kuna watu wanne wamenipigia,wanassema wapo SA
wananipa stry tofauti kabisa 8:36 p.m. Tue, May 28
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom