Msanii Ali Kiba avaa nguo za kike stejini, wanaume wakware wampigia miluzi

Mbona sijamuona hapo kwenye picha. Weka picha yake kwenye hiyo show. Hapo nimeona ma dancer tu
 
Mazingira ya kipindi cha akina TX ni tofauti na sasa, hakukuwa na wanawake wanaojishughulisha na music ..

Kwa sasa niambie msanii yeyote ambaye amevaa uhusika wa mwanamke kwenye nyimbo.
Hata wakiwa na idea wanawauzia wadada
 
tunapoerekea sasa wasanii wetu kimaadiri pabaya mtoto wakiumeni Leo ukavae dera kafanye show Mombasa basi
 
Hahahaaaaa eti Bilali Mashauzi hahahahaaa a.k.a warumi baby mtoto wa watu...
 
Kwa hiyo TX Moshi (RIP) alivaa nguo za kike kuonesha uhalisia wa uanamke?

Njia rahisi kaitafute hiyo show ya Lip sync battle alafu itazame nadhani utapata majibu mengi,nilichogundua hautaki kuelewa na vyuma vilivyokaza muda wa kueleweshana haupo chief.
 
Joti mnamzungumziaje ?? Kweli jamaa kaonesha kipaji na ile ni sanaa tu kuonesha kwamba ana kipaji
 
ACHA KUPOTOSHA MTOA MADA JANA ALI KIBA ALIPERFORM MTV ILA ALICHUKUA WIMBO WA BRENDA FASI WA SOUTH AFRICA SO NOT TO THAT EXTENT UACHE UCHOCHEZ NA UZUSHI HUNA UHURU HUO. KM UNAHIS NI GASHO MPE 0715 AJARIB KUPIGA KM ATAPATA AU ATAKOSA #
 
Hivi si jana tu kuna mtu alikuwa anamsifia Ali Kiba kuwa hajawahi kuvaa au kutokea ki kike?
 
Duh..!
Ina maana naye washaanza kumtafuna.?
 
Nguo ipi ya kike hapo?? Mi naona mmemmiss sana king Kiba sasa mnaanza kutafuta pa kutokea... Mwache kiba afanye yake maana hagomban ila mnataka ugomv nae
 
Umemalizaaa mama
 
Hiyo kitu ni kawaida sana,USA kuna kitu kinaitwa "LIP SYNC BATTLE" host ni LL Cool J ni battle inayowakutanisha celeb wawili wapambane kwa ku act wimbo ya msanii fulani na auvae uhalisia wa huyo msanii na wimbo wake but bila kuimba ni vitendo tu.

humo kuwakuta wakina Mike tyson kavaa mavazi kama ya Shakira na mauno kwa kwenda mbele ni kawaida sana...kwa hili la Ali sio jmbo la kushangaza just incase labda km hujui chochote kuhusu Sync battle au ni zile swaga za kuendeleza yale mapambano yetu ya u team.

Otherwise tunaendelea kusherehekea ubingwa wa Yanga huku tukiskilizia Serengeti boys Gaboooon mpk kombe la Duniaaa......
 
Umesema USA, umesema na kuchagua wimbo wowote. Sawa, ina maana Ali Kiba kakosa nyimbo zote mpaka akachagua Vulindera?, hiyo haina shida kuchagua.. ndo kabisa akaamua kuvaa ngua za kike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…