Alianza ben paul,kaja alikiba, sijui nani anafuata?
Ali Kiba ni mwanamuziki,na muziki ni burudani.
Sioni ubaya wowote maana yuko stejini ambako ndiko ofisini kwake.
Binafsi nimeipenda sana,big up Ali Kiba.
Wengine hapa wanatokwa mapovu,wanatoa kejeli kwa Kiba ambaye kwa show moja anaingiza zaidi ya
huku wao walio ofisini (white collar job) wanalipwa laki 3 wanajiona bora!
Huu ni zaidi ya uwendawazimu!
Kwa maelezo yako haya, wakiendelea wengine watakua mataahiraHii ilikua Lip Sync Battle Mtv Africa kati ya Alli Kiba(Tz) na ndege mnana Simi(Nigeria) simply Alli Kiba akachagua kuimba ngoma ya The late Brenda Fassie(Vulindela kama nimeandika sahihi) ivyo ilabidi avae uhusika kwa kuonekana kama Brenda na mwisho wa battle dogo Alli akaibuka mshindi kama inavyoonekana kwenye picha.
Kama mzee wa wangu marehemu Tx Moshi Williamu alipokua anaimba "Mume wangu kwa nini umeniacha" wakati yeye sio mwanamke ila lengo hadhira imapate ila ladha halisi ya sanaa yake ila kwa kua siku hizi kila kitu kinaangalia kwa kigezo cha timu sishangai watu wakicharurana umu ili kuridhisha nafsi na chuki za upande mmoja nakumbuka hata Joti alishambuliwa kwa kuigiza dada Kiboga ivyo ndivyo tulivyo tabaka la chini tuna furaha kuwananga wenzetu hata kama tunajua Joti sio shoga ila maumivu ya mafanikio yanatulazimisha tumseme tu ili tupate nafuu ya maumivu yetu BTW ni mtazamo wangu tu wa kawaida kwenye hili kama unapenda huu muziki wa sasa jaribu kuangalia behind the scene za video za hawa wasanii kuna vitu vingi utaviona.
Ben Paul alifanyaje mkuu?Alianza ben paul,kaja alikiba, sijui nani anafuata?