Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Bila kuigana biashara haziendi
Umeumia pole, hizi ni akili za kimaskini

Kwamba fulani anafanya biashara fulani na ina soko we usifanye kwakua fulani anafanya, matajili wakubwa wote wanafanya biashara za kunana,
 
Subili uzi wa mashindano ndo ule hizi ngojera

Vishabiki vya diamond vimejaa chuki na vimisemo vya kukalili, vinalazimisha mada za diamond hata pasipo na uhitaji wa mda hizo, watu wanamjadala mwingine yeye anakuja na habari za diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…