Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
๐๐๐ mimi sijakufata, ila michango yako ndo imenileta.Aisee bro uko serious kweli na hizi accusations zako??!.
Ume Anza kule kwenye ubahiri, na Huku Ume nifata na Huku!?
Mkuu kua shabiki wa fulani sio dhambi, mfano mimi nawakubali WCB ila sibezi wala kudhihaki mafanikio ya wengine.
So ni kawaida