Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
πππ mimi sijakufata, ila michango yako ndo imenileta.Aisee bro uko serious kweli na hizi accusations zako??!.
Ume Anza kule kwenye ubahiri, na Huku Ume nifata na Huku!?
Sasa mi sinaga ushabiki wa mtu, napenda muziki tu.πππ mimi sijakufata, ila michango yako ndo imenileta.
Mkuu kua shabiki wa fulani sio dhambi, mfano mimi nawakubali WCB ila sibezi wala kudhihaki mafanikio ya wengine.
So ni kawaida
SawaSasa mi sinaga ushabiki wa mtu, napenda muziki tu.
Kina konde, kiba, mond, solo thang, afande sele wengi tu
Hata sipo kuwa sawa mzee, sawa yako sio yangu.Sawa
πππ bro vipi, hiyo sawa ni kukubaliana kutokubaliana.Hata sipo kuwa sawa mzee, sawa yako sio yangu.
Mimi ni rais wa majobless pro max, hapafu 1+1 =2 ni kwenu tu.πππ bro vipi, hiyo sawa ni kukubaliana kutokubaliana.
Jiongeze basi aisee tajiri.