Msanii Alikiba ameshinda tuzo kubwa nyingine ya Beffta awards Uk

Hizo ndio tuzo sasa, achana na hizo za kutengenezwa tu mtaani... hongera bro kiba, tunakubal sana nyimbo zako kwakuwa hazichuji haraka na hivo kuendelea kuwa nzuri kusikilizwa.
 
Ni sawa sawa na kumaliza form four alafu unamlingishia mwenzako ambaye anahangaika na thesis ya masters!

Tuzo pekee tunayoitamani sasa ni ya BET na inshallah Mwenyezi Mungu akipenda huko mbeleni tutaanza kuota ndoto za Grammy Awards!

Anyways hongereni ni hatua mmepiga, I mean it, hongereni kwa hiyo tuzo sijui inaitwaje, siijui jina [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata mimi nimeshangaa mkuu ushindanishwe na akina wizkid ushinde halafu ukae kimya tu na hamna aliejua mwezi mzima sasa umepita ..duh jamaa vip bwana
 

Mimi nachukua pongezi tu...Asante [emoji8]
 
Teh teh tangu oct 28 hadi leo mshindi hajatangazwa?
 
Kwan uliambiwa 28 october ya mwaka jana mbona povuu mkuu haya mambo ya watt wakifanya vzr wapongezee tu
 
Wooooow! Hii tena mnasemaje?Wasanii wote wakubwa Afrika chaliiiii.

Hongera King Ali Kiba,Happy birthday [emoji322] [emoji323] [emoji320] [emoji512]

Hatununui views, hatununui tuzo.

[HASHTAG]#TutaheshimianaTu[/HASHTAG]

cc chige Chinga One The bold
Wasubiri haters!watakuja kuziponda hapa nakwambia,hizo tuzo wameshapost kwenye page yao ya instagram@ beffta_awards!hii ilipelekea mashabiki kumuuliza meneja WA alikiba kuwa ameshinda kipengele gani,maana alikiba alikuwa vipengele viwili,best international African artist na best video(kupitia wimbo WA mwana)ila ameshinda hicho kipengele.,,ndipo manager alipojibu kupitia IG yake,hivyo ni habari zenye uhakika,
 
muaminini aliyeleta Uzi,, hataivo hata ukipewa source nyingine hutafurahia,chuki ushaonesha .
 
Najua una mahaba mengi sana kwa mond mkuu ndio maana povu linazid kumwagika ila remember kiba si mtu wa kujikweza yote yanawezeka ila kukuelewesha ww uliyekunywa maji ya kinanda cha mond panakazi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…