Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hivi nawewe unaamini kabisa toka october 28 hadi leo mtu hajapewa tunzo yake? Ni wazi alikata rufaa kabisa..Hapana. Kanunua views
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nawewe unaamini kabisa toka october 28 hadi leo mtu hajapewa tunzo yake? Ni wazi alikata rufaa kabisa..Hapana. Kanunua views
Sawa si ilimradi n uingereza mkuu, uingereza hata iwe uswahilini si sawa na Nigeria ujueInategenea uingereza sehem gani yaweza kuwa ni tuzo kama Insta award za bongo sema tu zipo uingereza
Ni sawa sawa na kumaliza form four alafu unamlingishia mwenzako ambaye anahangaika na thesis ya masters!Wooooow! Hii tena mnasemaje?Wasanii wote wakubwa Afrika chaliiiii.
Hongera King Ali Kiba,Happy birthday [emoji322] [emoji323] [emoji320] [emoji512]
Hatununui views, hatununui tuzo.
[HASHTAG]#TutaheshimianaTu[/HASHTAG]
cc chige Chinga One The bold
Hata mimi nimeshangaa mkuu ushindanishwe na akina wizkid ushinde halafu ukae kimya tu na hamna aliejua mwezi mzima sasa umepita ..duh jamaa vip bwanaKinachomuangusha ally kiba ni poor management , tangu tarehe 28 hakuna mtanzania anaejua lolote kuhusu kiba na hii tuzo... Si kwenye social platforms za yeye kiba au meneja wake....
Nina uhakika kama mtu anachukua tuzo mbele ya wiz kid kwa hii menejiment ambayo huwa siielewi , siku akipata management inayojielewa atafika mbali sana
Ni sawa sawa na kumaliza form four alafu unamlingishia mwenzako ambaye anahangaika na thesis ya masters!
Tuzo pekee tunayoitamani sasa ni ya BET na inshallah Mwenyezi Mungu akipenda huko mbeleni tutaanza kuota ndoto za Grammy Awards!
Anyways hongereni ni hatua mmepiga, I mean it, hongereni kwa hiyo tuzo sijui inaitwaje, siijui jina [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwan uliambiwa 28 october ya mwaka jana mbona povuu mkuu haya mambo ya watt wakifanya vzr wapongezee tuUshabiki tu umekujaa, na mnajifurahisha tu kwa tuzo hewa.
Kutoka October 28 mpaka leo ndio mnatangaza kwa sababu zipi zinawafanya mtangaze sasa na sababu zipi ziliwafanya msitangaze kabla kipi kilichobadikika?
Jana au juzi nilisikia Diamond kalamba tuzo huko Nigeria, je ni hii ndio iliyowafanya mkumbuke tuzo mliyoipata October 28?
Wasubiri haters!watakuja kuziponda hapa nakwambia,hizo tuzo wameshapost kwenye page yao ya instagram@ beffta_awards!hii ilipelekea mashabiki kumuuliza meneja WA alikiba kuwa ameshinda kipengele gani,maana alikiba alikuwa vipengele viwili,best international African artist na best video(kupitia wimbo WA mwana)ila ameshinda hicho kipengele.,,ndipo manager alipojibu kupitia IG yake,hivyo ni habari zenye uhakika,Wooooow! Hii tena mnasemaje?Wasanii wote wakubwa Afrika chaliiiii.
Hongera King Ali Kiba,Happy birthday [emoji322] [emoji323] [emoji320] [emoji512]
Hatununui views, hatununui tuzo.
[HASHTAG]#TutaheshimianaTu[/HASHTAG]
cc chige Chinga One The bold
Teh teh tangu oct 28 hadi leo mshindi hajatangazwa?
muaminini aliyeleta Uzi,, hataivo hata ukipewa source nyingine hutafurahia,chuki ushaonesha .Ushabiki tu umekujaa, na mnajifurahisha tu kwa tuzo hewa.
Kutoka October 28 mpaka leo ndio mnatangaza kwa sababu zipi zinawafanya mtangaze sasa na sababu zipi ziliwafanya msitangaze kabla kipi kilichobadikika?
Jana au juzi nilisikia Diamond kalamba tuzo huko Nigeria, je ni hii ndio iliyowafanya mkumbuke tuzo mliyoipata October 28?
Ndiyo,ni kawaida yake!,ukiwa shabiki wake hutashangaa kuona kanyamazaKhaaa!! acheni uongo yani Kibakuli akae siku zote hizo bila watu kujua?
Najua una mahaba mengi sana kwa mond mkuu ndio maana povu linazid kumwagika ila remember kiba si mtu wa kujikweza yote yanawezeka ila kukuelewesha ww uliyekunywa maji ya kinanda cha mond panakazi kubwaSijakataa kumpongeza mkuu, napongeza pale panapostahili, kama ameshinda ni haki yake kupongezwa.
Njoo kwenye uhalisia, kiba apambanishwe na hiyo miamba ashinde alafu akae kimya mwezi mzima!!!?
Hapo acha povu linitoke tu(kwa tafsiri yako) lakini sio kiivyo.
Nimeuliza swali sijajibiwa,na nakuuliza wewe kilichofanya isitangazwe oct 28 ni nini na kipi kilichobadilika mpaka kutangazwa sasa?
Narudia tena jana au juzi sina uhakika Diamond kashinda tuzo uko Nigeria(tushazoea),leo inaletwa habari kiba kashinda tuzo uingereza toka october 28,ina maana walisahau kuitangaza wamekumbuka baada ya kusikia mond kashinda ama vipi?
Acheni kuchezewa skili kiivyo!!!
Umemaliza kila kitu.