Mara Nyingi huwa sipendi kubisha bila Facts!! Nina uhakika 100% Alikiba hakushinda hiyo tuzo!!! Kama unabisha bishana kwa Facts!!
1.Kwanza hizii tuzo naona zimeanza Siku za hivi karibuni,post ya kwanza kati ya post 45 walizo post walipost tarehe 28/10/2016 na hadi sasa wana followers 841,means hizi tuzo si kubwa!
2.Katika post zote nimeona walioshinda walikuwa wakitangazwa kupitia Instagram lakini sijaona sehemu aliopostiwa Alikiba kuonesha ameshinda hiyo tuzo unayo isema wewe!
mfano hyo hapo
3.Kama kweli Alikiba Alisha hiyo tuzo kulikuwa na maana gani ya kupost hili
Tena wakaa mda mfupi na kupost hii
Kama wanamaanisha hivyo basi sawa kweli Alikiba alishinda kwa kushindanishwa na Diamond pekeee na Sio hao wengine uliowataja!!!
4.Na ninahisi hizi tuzo wanatafuta followers kupitia kwa Diamond na Alikiba!! Maana wameshajua akili ya watanzania ilipo
5.Tuwe wa kweli na tuache kudanganya umma kwa vitu vilivyo wazi kama hivi!! Nitakubari kama nitaona Tuzo ambayo inaonesha Alikiba kashinda Best African Act katika tuzo hizi!!! Zaidi ya hiyo walio mshindanisha na Diamond
6.Kwa yeyote yule mwenye ushahidi hyo aweke hapa tuone ila Mimi nimezipitia account za hao watoa tuzo lakini sijaona!!
Simchukii msanii yeyote ila ukweli ni Mzuri zaidi