Msanii Alikiba ameshinda tuzo kubwa nyingine ya Beffta awards Uk

Msanii Alikiba ameshinda tuzo kubwa nyingine ya Beffta awards Uk

Angalieni msije mkajinyonga maana hiyo ndo result ya kuchukia watu ambao hawakukukosea chochote
 
Ushahidi plz! Hata walipo post hao wenye tuzo! Iweje ushindi wa Tuzo tuusikie toka kwa Manager?, kama ni tuzo kubwa Wao hawawezi kupost,hawapo kwenye social media? Kura zimepigwa vipi karibia miezi 2 toka zitolewe ndo Leo tunajua mmmmmh nishusheni jamanii
 
Mara Nyingi huwa sipendi kubisha bila Facts!! Nina uhakika 100% Alikiba hakushinda hiyo tuzo!!! Kama unabisha bishana kwa Facts!!

1.Kwanza hizii tuzo naona zimeanza Siku za hivi karibuni,post ya kwanza kati ya post 45 walizo post walipost tarehe 28/10/2016 na hadi sasa wana followers 841,means hizi tuzo si kubwa!
1480527230092.png


2.Katika post zote nimeona walioshinda walikuwa wakitangazwa kupitia Instagram lakini sijaona sehemu aliopostiwa Alikiba kuonesha ameshinda hiyo tuzo unayo isema wewe!
1480527325244.png
mfano hyo hapo

3.Kama kweli Alikiba Alisha hiyo tuzo kulikuwa na maana gani ya kupost hili
1480527379430.png


Tena wakaa mda mfupi na kupost hii
1480527419870.png


Kama wanamaanisha hivyo basi sawa kweli Alikiba alishinda kwa kushindanishwa na Diamond pekeee na Sio hao wengine uliowataja!!!

4.Na ninahisi hizi tuzo wanatafuta followers kupitia kwa Diamond na Alikiba!! Maana wameshajua akili ya watanzania ilipo

5.Tuwe wa kweli na tuache kudanganya umma kwa vitu vilivyo wazi kama hivi!! Nitakubari kama nitaona Tuzo ambayo inaonesha Alikiba kashinda Best African Act katika tuzo hizi!!! Zaidi ya hiyo walio mshindanisha na Diamond

6.Kwa yeyote yule mwenye ushahidi hyo aweke hapa tuone ila Mimi nimezipitia account za hao watoa tuzo lakini sijaona!!

Simchukii msanii yeyote ila ukweli ni Mzuri zaidi
 
Back
Top Bottom