Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Niliikosa hio jmn
Mange alisemaje

Ex yupi?Jojo?.

Bado ipo insta yake fekelo.. bado hajaandika kilichojiri ameonjesha tu kuhusika kwa kuleta tatizo hajasema nini. ila watu ndio wamekomenti yao.
 

Speaking from experience, lol
 

Harusi ya kiba ilifanywa na joho, asilimia kubwa alichangia yeye mheshimiwa
 
Kweli malipo ni hapa hapa duniani

Kazalisha wanawake watatu sijui na asioe
Sasa Amina wanne

Na kumuacha Mkuu wa Wilaya na kukimbilia Kenya...sasa kiko wapi?.kweli kutesa kwa zamu.,ss zamu yake kula tabu.

Vijana tujifunze

Ndoa gani mnaishi watu maelfu ndani😅
 
Siku aliyooa kiba wanawake wa kibongo tulitukanwa sana mpaka JoJo alikimbia ig,Mungu alivyomkubwa ndoa hata mwaka aijafikisha.
 
 
This is sad,pole Amina..uwe haupendani na ndugu za mumeo na mumeo anawa support ndugu zake..hio atmosphere ni ngumu...bora ukapumue mwaya!!
Haya mambo mnasababishaga nyie wakina Mama, watoto wenu wa kiume mnapendaga kuwafanya kama mitaji,Akishakuwa na uwezo baasi unataka ukae hapohapo na wewe kama mke mkubwa, kazi kuwafuatiliafuatilia wakwe zenu kwa kivuli cha Mama, Huku mnataka kukontrol nyumba ya mtoto kama ya kwako kisa ulimlea kwa taabu tu.
 
Hilo kweli ndugu nao wanazidi mtu hawezi hata vaa pens akazunguka ndani kwake nyie mmetoa mimacho tu kwa wifi yenu [emoji846][emoji846][emoji846]
Ndoa nzuri ni zile unakaa na mke wako, siku unaamua utembee uchi ndani ya nyumba luksa, siku unaamua mlale kwenye sebure, , jikoni, korridor, luksa, siyo nyumba mnakaa na ndugu 20, kochi zinabalika rangi,
 
Kama kambi ya umitashumta [emoji23][emoji23]
 
Halafu wanashindwa kulea watoto wao wa kike, kazi yao kupiga ukahaba na kudanga
 
Eti jamani kutwa mnashinda sebuleni huyu katoka kule mwingine kule kama mashimo ya panya, hata kujibebisha hakuna, hata ningekuwa mimi kwanza ana moyo sizani kama walisha wahi hata lishana huku wamepakatana [emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nipite mie
Ndoa nzuri ni zile unakaa na mke wako, siku unaamua utembee uchi ndani ya nyumba luksa, siku unaamua mlale kwenye sebure, , jikoni, korridor, luksa, siyo nyumba mnakaa na ndugu 20, kochi zinabalika rangi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…