Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Watanzania tuwe na kawaida ya kupenda kujitegemea sio ndugu anauwezo kidogo tayari umeweka makalio yako mpaka ufukuzwe ndo ujue utakiwi...CC: vijana wa DSM walio wengi hasa wazawa.
 
Kingmusic band wakiwa wamelala hapo ni nusu tu bado hesabu haijatimiaView attachment 1210436
Baada ya ndugu wa kiba kujua chumba cha shemeji kipo vacant
IMG_20190918_203827.jpeg
 
Mzee mwenzangu umezungumza kweli ,nimesoma coment za wengi humu hawajui hawa wanawake wakimombasa huwa ni washenzi sana ,kwanza wanataka kuwa juu ya mume ,yaan mke awe na sauti ,pia ni watu wa anasa na wabinafsi sana hawana adabu
Ina maana japo King Kiba ni mega super star hakufanya background check na Vetting ya kutosha hadi anakuja kuachana na aliyekuwa mkewe Amina mapema namna hii??!! Yaani hata miaka miwili hawajafikisha!! Habari hizi sio tetesi tena zimethibitishwa kuwa ni ukweli. Brand inashake mazee
 
Sheria ya talaka tatu siku kiba akitaka kumrudia amina lazima kwanza mimi nimuoe amina then nimuache kwa talaka ndio naye achukue mzigo.
 
#UDAKU Ngojeni sasa niwaambieni ukweli kabisa kuhusu ndoa ya kiba na Amina kuvunjika, nimeshapata mtu wa ndani kabisa ninaemuamini akanipa habari kamili, kuna sababu 2 tu za ndoa kuvunjika
.
Bwana wee sababu ya KWANZA ambayo pia ndio sababu kubwa ya ndoa hii kuvunjika ni nyumba ya gorofa ilioko tabata, Amina anataka nyumba hiyo ya ghorofa iandikwe jina la mtoto wake, anasema ndio dini inavyo sema eti mtoto anaetambulika ni mtoto wa ndoa, sasa kiba ye hataki na badala yake kamuandika mtoto wake yule mkubwa, ndio ugomvi ulipoanzia hapo
.
Basi mara muda sio mrefu Yule mtoto mkubwa wa kiba ambae ameandikwa kwenye ile nyumba akaanza kuumwa mnooo, mbaya zaidi anaumwa magonjwa ambayo ata hayaeleweki, unaambiwa mtoto mara anaanguka, mara anapandisha hata shule wakamuachisha mtoto, sasa mama kiba pamoja na kiba kufuatilia KUMBE amina ndio anamroga mtoto anataka amuondoe duniani ili mwanae arithi mali mpo hapo👌
.
Sababu ya PILI ndoa hiyo kuvunjika ni UCHOYO, unaambiwa hawapendi ndugu wa mume hata kidogo, unaambiwa siku akija mama yake mzazi au ndugu zake ataamka asubuhi, ataandaa chai nzito, wageni watakunywa vzur, mchana ataandaaa watakula vzuri, usiku yaani wageni anawakarimu vizuri mnoo, akija mama kiba au ndugu wa kiba akishawasalimia tu huyo anakimbia chumbani kujifungia, mama kiba atajipikia chakula mwenyewe atajihangaikia kila kitu mwenyewe, halafu mnaoshabikia mnasema humo ndani anakaa na mama kiba kumbe ni uongo, mama kiba wala hakai humo ye anaendaga kusalimia tu, mama wa watu anaishi kariakoo kwa taarifa yenu, japo huwa anaenda kila weekend kuwapeleka wajukuu zake wakasalimie
.
Halafu hana mapenzi na watoto wa kiba, yaani hana tyme nao, hata mtoto akiwa anaumwa hata kumcare hakuna sasa huyo ni mwanamke wa kuanae kweli ???
 
Back
Top Bottom