Msanii Anjela wa Konde Gang ni lini ataenda kupatiwa matibabu?

Msanii Anjela wa Konde Gang ni lini ataenda kupatiwa matibabu?

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
Msanii Anjela ni mgonjwa wa miguu na wakati anasainiwa tuliona akipewa ahadi atapelekwa India kwa ajili ya matibabu.

Sina hakika hii ahadi ipo kwenye contract au la!

Ambacho nasikitika ni kwa nini mpaka leo hajatimiziwa hii ahadi ya matibabu na Konde Gang.

IMG-20220318-WA0000.jpg
 
Kumbe miguu kuwa hivyo huwa NI ugonjwa sikujua naonaga TU hasa kwa mademu me nikajua NI km ulemav flan
 
Angela ana nyimbo nzuri anajitahidi.

Kuhusu matibabu sijui ilikuwaje.
 
Back
Top Bottom