joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Daa aiseee kumbe miguu yake ipo hivyo.Msanii Anjela ni mgonjwa wa miguu na wakati anasainiwa tuliona akipewa ahadi atapelekwa India kwa ajili ya matibabu.
Sina hakika hii ahadi ipo kwenye contract au la!
Ambacho nasikitika ni kwa nini mpaka leo hajatimiziwa hii ahadi ya matibabu na Konde Gang.
View attachment 2154748