Msanii Anjela wa Konde Gang ni lini ataenda kupatiwa matibabu?

Msanii Anjela wa Konde Gang ni lini ataenda kupatiwa matibabu?

Kama mkinunua nyimbo zake na kuhudhuria shows zake kwa wingi haitakua na haja ya kupelekwa.

Atajipeleka mwenyewe.
Umewahi kusikia kafanya show wapi au hizi za kudandia za harmo?? Harmo kashindwa kumbrand huyu binti hana shows nyimbo chache sana alizonazo ukweli usemwe Harmo alitafuta kiki tu lakini ni kama kamtupa maendeleo yake madogo sana kwenye mziki anaimba vizuri ila ngoma chache sana.

Tangu kaingia konde gang harmo ana nyimbo nyingi kushindaa msanii wake ajabu.
 
Unamaanisha hamoñaize kamtelekeza na ugonjwa wake huyu binti?
kamtelekeza kivipi.....kamtoa from zero to the point ambayo anjela sa hv anasaidia wazazi wake, anaishi kwake ana usafiri wake ana fanbase yake kubwa tu, ana shughuli zake za muziki zinazomuingizia kipato cha kumtosha kuendesha maisha yake,,,

Mazuri yote alioyafanya Harmo kwa huyu dada mnayafuta sababu ya tiba ya miguu?
 
Alimuahidi kumtibia miguu India, je ametekeleza au hajatekeleza?
 
Unamaanisha hamoñaize kamtelekeza na ugonjwa wake huyu binti?
Wasanii wa bongo michosho tu, kuna kale kengine kaliimba wapinzani watetereke halafu baadae akawafata kuwaomba wampigie kura, sasa watu washatetereka watakuwa na uwezo wa kupiga kura kweli
 
Back
Top Bottom