Safi sana umemaliza kila kituKama mkinunua nyimbo zake na kuhudhuria shows zake kwa wingi haitakua na haja ya kupelekwa. Atajipeleka mwenyewe.
Uzi ufungwe..Kama mkinunua nyimbo zake na kuhudhuria shows zake kwa wingi haitakua na haja ya kupelekwa.
Atajipeleka mwenyewe.
Unalazimisha mambo binti osha osha hata vyombo hapo anjella si yupo bado konde gang hapo.Unamaanisha hamoñaize kamtelekeza na ugonjwa wake huyu binti?
Sawa bwana HarmonizeUzi ufungwe..
Elephantiasis hiyoKumbe miguu kuwa hivyo huwa NI ugonjwa sikujua naonaga TU hasa kwa mademu me nikajua NI km ulemav flan
Ok zuchuSawa bwana Harmonize