joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Daa aiseee kumbe miguu yake ipo hivyo.Msanii Anjela ni mgonjwa wa miguu na wakati anasainiwa tuliona akipewa ahadi atapelekwa India kwa ajili ya matibabu.
Sina hakika hii ahadi ipo kwenye contract au la!
Ambacho nasikitika ni kwa nini mpaka leo hajatimiziwa hii ahadi ya matibabu na Konde Gang.
View attachment 2154748
Hii ahadi ina zaidi ya mwaka na binti hawezi kuwa comfortable kwenye macho ya watu kwa hayo maradhi.... Harmonize kama alitumia ugonjwa wa huyu binti kutafuta kiki basi atalaaniwaUnalazimisha mambo binti osha osha hata vyombo hapo anjella si yupo bado konde gang hapo.
Kabisa.Kama mkinunua nyimbo zake na kuhudhuria shows zake kwa wingi haitakua na haja ya kupelekwa.
Atajipeleka mwenyewe.
Umemaliza kila kitu hapa.Kama mkinunua nyimbo zake na kuhudhuria shows zake kwa wingi haitakua na haja ya kupelekwa.
Atajipeleka mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23] umetisha Sana mkuuKwa hizo bangi Harmonize anazovuta, sidhani kama hata anakumbuka kuwa alitoa ahadi ya matibabu kwa Anjela.
Kweli kbsa mkuu,tukimpa support nzuri bila Shaka mwenyewe ataweza kusimamia bills za matibabu yakeKama mkinunua nyimbo zake na kuhudhuria shows zake kwa wingi haitakua na haja ya kupelekwa.
Atajipeleka mwenyewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani nimecheka Kama mazuri, umetisha Sana mkuuElephantiasis hiyo
Mkuu kilichokuchekesha hapo nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani nimecheka Kama mazuri, umetisha Sana mkuu
Najua ugonjwa wa Elephantiasis upo lakini Sasa nilikuwa naimagne tu labda huo ugonjwa kaambukizwa na Harmonize maana yet Ni Tembo( elephant)Mkuu kilichokuchekesha hapo nini?
Acha ukorofi
Sawa yakobo mtoa laana 😁Hii ahadi ina zaidi ya mwaka na binti hawezi kuwa comfortable kwenye macho ya watu kwa hayo maradhi.... Harmonize kama alitumia ugonjwa wa huyu binti kutafuta kiki basi atalaaniwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kondeboy call me number one..so much money in a bank man.