Msanii atoa machozi kwa kurushwa kwa picha zake akiwa mtupu!

Msanii atoa machozi kwa kurushwa kwa picha zake akiwa mtupu!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
husna akiwa uchi.jpg

HUU NDO MKASA AMBAO HUSNA HATAUSAHAU MAISHANI MWAKE.........HILI NDO SIMULIZI LALE BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAA.... ------------------------------------------------------------------

"Ni kweli ni picha zangu, nilipigwa na boyfriend wangu wa zamani, Frank ambaye ni mdogo wake Queen Suzy (Suzan Chubwa). Najuta sana kukubali kupiga," alisema huku akimwaga machozi.

"Kipindi nikiwa na Frank, niligundua ana mwanamke mwingine nikamwambia aachane naye, lakini nikaambulia kipigo. Hata mama yangu alikuwa hataki mimi niwe naye maana alikuwa akinigeuza ngoma kwa kipigo.
husna2.bmp

"Niliongea na wifi Suzy (Queen) akasema atazungumza naye, lakini haikusaidia kitu. Nikaamua kuachana naye. Ndipo aliponipigia simu na kuniambia atanifanyizia kwa sababu alikuwa na picha zangu za utupu.

"Kwa kuhofia aibu, nikakubali kurudiana naye, lakini tabia zake zikazidi kunichefua, baadaye nikaachana naye jumla. Alinipigia simu kunitisha kuwa akinikuta na mwanaume mwingine atanishikisha adabu, lakini sikujali.
husna3.bmp

"Kuna wakati alinipigia simu na kunieleza kuwa flashi iliyokuwa na picha zangu za utupu pamoja na Mary (aliyekuwa mpenzi wa Frank ambaye naye alipigwa picha kama hizo) imepotea.

"Nilipombana kuhusu mazingira ya kupotea hakuwa na maelezo yanayoeleweka, sikutilia maanani, nilipopigiwa simu na kuambiwa kuwa kuna picha zangu za utupu nilikumbuka maneno yake... mimi nahisi ni Frank atakuwa amecheza mchezo huu,"alisema Husna akiendelea kumwanga machozi.
 
Attachments

  • husna.jpg
    husna.jpg
    19.5 KB · Views: 523
  • husna2.jpg
    husna2.jpg
    15 KB · Views: 534
oh my oh my!! hivi ni lazima kupiga picha ukiwa uchi na mumeo, achilia mbali boy friend?? ni ujinga na ushamba kuiga mambo ya nje! haya mshahara ndio huo sasa! huyo frank naye ni mshambaje sasa??
 
oh my oh my!! hivi ni lazima kupiga picha ukiwa uchi na mumeo, achilia mbali boy friend?? ni ujinga na ushamba kuiga mambo ya nje! haya mshahara ndio huo sasa! huyo frank naye ni mshambaje sasa??

Shemeji sio ya kusema haya.. Ciku zote unaambiwa mahaba hatari... Unapopenda unakuwa kama zombie fulani hivi.. Unafikiria kumfurahisha mwenzio hata kwa mawazo ya kijinga.. Omba Mungu akupe mwenzi mwenye staha na ambae sio sick kwa head yake..
 
oh my oh my!! hivi ni lazima kupiga picha ukiwa uchi na mumeo, achilia mbali boy friend?? ni ujinga na ushamba kuiga mambo ya nje! haya mshahara ndio huo sasa! huyo frank naye ni mshambaje sasa??

hata mie nashangaa akili za wanawake wengine.....
Inakuaje ujiachie upigwe picha?
Mume wangu tuf sikubali anipige picha uchi sembuse boyfriend....
Sijui ni ulimbukeni au mzigo wa ushamba....

Basi hata na yeye ange,piga picha uchi huyo mwanaume....akhaaaa wanawake wanajimanua tu kupigwa picha, badala na wao wawapige picha za uchi na hao wanaume...

Upumbavu haswa
 
Nakuonea huruma mdogo wangu! ila nimefurahi kwa kuwa umekuwa muwazi kitu ambacho kitakuweka huru..wewe sio wa kwanza na hutakuwa wa mwisho..ila somo utakuwa umeshalipata piga moyo ngumi (konde) kisha songa mbele kila mtu ana uchi hakuna cha ajabu hapo huyo boyfriend wako ni m....nge tu kama walivyo wa...nge wengine ....forgive and forget ...
 
Hahaa it was planned. Asijifanye vimevuja hizo pictures. Umaarufu wa bongo stars unajulikana
 
Akil za kitoto tatizo wanafanya vitu bila kufikiria consequences zake...
 
Msanii wa vichekesho au maigizo?
 
oh my oh my!! hivi ni lazima kupiga picha ukiwa uchi na mumeo, achilia mbali boy friend?? ni ujinga na ushamba kuiga mambo ya nje! haya mshahara ndio huo sasa! huyo frank naye ni mshambaje sasa??

Usiseme hayo mapenzi ni kitu kingine,msichana akipenda anapenda kwa dhata hadi kusahau kuwa mpenzi wake ni muongo ndivyo alivyofanya huyu dada,kuhusu picha inawezekana kabisa jamaa alipiga bila ya kuwa na ridhaa ya mhusika,na inawezekana alimwabia nimefuta kumbe ameificha.
Cha msingi kwakuwa anathibitisha hali iliyokuwa ni dhahiri mpenzi wake hakuwa na mapenzi ya kweli ila alikuwa anajifurahisha tu.
tumtie nguvu na kumshauri kuwa wanaume ni hatari sana majority ni cheaters,
 
Ashukuru amepata umaarufu wa bure.!
 
Huyo mchizi wake nae mshamba tu, sasa ndio kafaidika nini? Halafu mnaosema ni planned unless ukiwa huna ubongo uwe ni uji ndio unaweza fanya upuuzi huo.
Dah, pole sana dadangu.
 
Huyo mchizi wake nae mshamba tu, sasa ndio kafaidika nini? Halafu mnaosema ni planned unless ukiwa huna ubongo uwe ni uji ndio unaweza fanya upuuzi huo.
Dah, pole sana dadangu.

Kamharibia soko kei yake mbaaaya
 
dah, nimeona. Hongera Frank kwa kutuonyesha.
 
oh my oh my!! hivi ni lazima kupiga picha ukiwa uchi na mumeo, achilia mbali boy friend?? ni ujinga na ushamba kuiga mambo ya nje! haya mshahara ndio huo sasa! huyo frank naye ni mshambaje sasa??

Hujawahi kupiga picha kihasarahasara cacico? Najua wasichana wengi wameshafanya (iwe kwa hiyari ama bila kujua)....especially baada ya kuingia kwa teknolojia rahisi ya upigaji picha.
A lesson learnt, tho in a hard way.
 
Last edited by a moderator:
Hii story naikubuka ilitoka kwa shigongo ina kama miaka miwili hivi,ni funzo tosha kwa mabinti wanaopendwa kupigwa naked photos na ma bf wao!!
 
ngoja nikafukuzie ed........nijipumzishe
 
Back
Top Bottom