Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

Maudhui yake ni "wasifu wa Mbowe."

Maudhui yako yanakuwa je kwenye wimbo wa watu?

Si utunge wa kwako?

Hiiiiii bagosha!
Haya imbeni tu ila tayari PGO mpaka sasa hivi inaongoza
 
Taarifa ya sasa inaonyesha kwamba ndio wimbo unaosikilizwa na watu wengi zaidi duniani kwa sasa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…