Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Watanzania hawana shida. Unafikia wenu tu ndiyo mnahangaika naoSiku ipo ambayo vinywa vyenu vitatamani kuwaomba msamaha watanzania lkn hamtakubaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hawana shida. Unafikia wenu tu ndiyo mnahangaika naoSiku ipo ambayo vinywa vyenu vitatamani kuwaomba msamaha watanzania lkn hamtakubaliwa.
Karibu kunapambazukaShughuli za ukombozi zinahitaji uvumilivu na ubunifu
Ndiyo utamtoa Dj?
Siku ipo ambayo vinywa vyenu vitatamani kuwaomba msamaha watanzania lkn hamtakubaliwa.
Haya imbeni tu ila tayari PGO mpaka sasa hivi inaongozaMaudhui yake ni "wasifu wa Mbowe."
Maudhui yako yanakuwa je kwenye wimbo wa watu?
Si utunge wa kwako?
Hiiiiii bagosha!
Taarifa ya sasa inaonyesha kwamba ndio wimbo unaosikilizwa na watu wengi zaidi duniani kwa sasaHuu wimbo umeshasambaa sana mitandaoni.
Kwa hiyo Dj ni sawa na Ceausescu? Hivi nyinyi akili inafanya kazi sawa sawaWatu wanajifanya hawajui kinachoendelea huko duniani
😂😂😂😁😁😁😁🙌🙌🤣🤣Taarifa ya sasa inaonyesha kwamba ndio wimbo unaosikilizwa na watu wengi zaidi duniani kwa sasa
Haya imbeni tu ila tayari PGO mpaka sasa hivi inaongoza
Huyu jamaa asipofikiriwa kacheo pale Ufipa itakuwa ni uonevu mkubwa..😂😂😂😁😁😁😁🙌🙌🤣🤣
Kama huingii mitandaoni huwezi kuona hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]
Hakimu keshasikia atafuata hayo maneno y huo wimbo kesho siyo gaidi ataachiwa.Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea.
Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi.
Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.
View attachment 1985347