Msanii atumia Tsh Bilioni 230 kununua ndege yake


Parking kawaida tu buku moja, ila ukipaki nje ya mstari fine Tsh 50,000/-

Au ukienda uwanja wa ndege utaone wale jamaa wanaovaa sare za kukata ticket wapo kama kawa, au hujawahi kuwaona..

Hali ya maisha ngumu sana aisee, hadi nmesahau nilikuwa nasema nni? Hiv uliuliza?😜
 
fanyeni kazi
 
Miafrika ni malimbukeni awe Marekani au Nachingwea...

Badala kuwekeza anunue hisa za Amazon ananunua liability thing....

Subiri muda wake wa sanaa uishe afilisiwe abaki na buku jero mfukoni...
 
Ndege, inalipiwa inapopaki uwanjani (muda itakaoutumia ndiyo itaulipia) kuna gharama nyingi sanaaa za kutua na kupaa kwenye kiwanja cha JKNIA ila kwa wenzetu nafahamu gharama za kupaki, na kutua tu ni ghari kwelikweli.

Ndio maana flights nyingi za Emirates zinalala Dubai nyumbani kwao
 
Ni wa Canada sio USA. Utajiri wake dola milioni 140. Pengine itamsaidia kwa njia anazojua mwenyewe.
 
Miafrika ni malimbukeni awe Marekani au Nachingwea...

Badala kuwekeza anunue hisa za Amazon ananunua liability thing....

Subiri muda wake wa sanaa uishe afilisiwe abaki na buku jero mfukoni...
Mi nauliza kwani drake ni black, arab or latino?
 
Kusoma hujui inamaana hata picha huoni kile kipilipili kichwani?
Mi nauliza kwani drake ni black, arab or latino?
Aubrey Drake Graham was born on October 24, 1986, in Toronto, Ontario. His father, Dennis Graham, is an African American and a practising Catholic from Memphis, Tennessee, and worked as a drummer, performing alongside country musician Jerry Lee Lewis.
 
hapa tanzania nani ananunua? Joti au kiba au dogo Domo! au masanja wa kulimo kwanza? heheee mweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…