Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza swali maana unaonekana unaufaham fulani hv, "hv kama unamiliki ndege gharama za kuipaking uwanjan yaan kama huna matumiz nayo unalipia au huwa zinaegeshwa tu maana wenzetu swala la kumiliki ndege ni jambo la kawaida sana, mfano hata huku kwetu tubavyoona fastjet je huwa wanalipia pindi zikikaa uwanja wa ndege au hata zikiwa zinataka kiruka na kutua ndo hilo tu naomba unijibu kama unaufahamu nalo.
Na kama wakigundua ni mrengo wa kushoto basi TRA, Uhamiaji na polisi plus kesi zitakuandama sana. Mpaka wahakikishe umekua mnyonge ili uendelee kuongozwa na rais wa wanyonge.Huku kwetu tukinunua hizo taifa zima linajikusanya na kukuta viuno uwanja wa ndege.
Tunajadili mambo ya level nyingine hapa usilete hadithi za abunuasi hapa.Diamond bado tu hajaleta ndege yake aliyowaahidi mashabiki wake.
fanyeni kaziMsanii Drake atumia TSh. Bilioni 230 kununua ndege yake
Msanii wa muziki Marekani, Drake amethibitisha kumiliki ndege yake binafsi 'Air Drake' ambayo ni Model 767 yenye vyumba viwili vya kulala na logo zake zote za Ovo na Mikono yenye ishara ya maombi.
Kwenye video ya ndege hio anasikika Drake akisema 'Hakuna kukodi, Hakuna mmiliki mwenza'. Dili hili limewezeshwa na rafiki wa muda mrefu wa Drake ambaye ni Rais na Mkurugenzi mtendanji 'C.E.O' Wa Cargojet Airways Ajay Virmani.
Inadaiwa kuwa ndege hizi hutengenezwa kwa ada ya zaidi ya TSh. Bilioni 230. DJ Khaled alimpongeza Drake kwa hatua hii kwa kusema 'Hongera, nakumbuka uliniambia jambo hili miaka miwili iliyopita'.
Nimesifia, pia kumbuka nina mke na watoto wananitegemea.Umetusifia au umetuchamba
Ndege, inalipiwa inapopaki uwanjani (muda itakaoutumia ndiyo itaulipia) kuna gharama nyingi sanaaa za kutua na kupaa kwenye kiwanja cha JKNIA ila kwa wenzetu nafahamu gharama za kupaki, na kutua tu ni ghari kwelikweli.Naomba kuuliza swali maana unaonekana unaufaham fulani hv, "hv kama unamiliki ndege gharama za kuipaking uwanjan yaan kama huna matumiz nayo unalipia au huwa zinaegeshwa tu maana wenzetu swala la kumiliki ndege ni jambo la kawaida sana, mfano hata huku kwetu tubavyoona fastjet je huwa wanalipia pindi zikikaa uwanja wa ndege au hata zikiwa zinataka kiruka na kutua ndo hilo tu naomba unijibu kama unaufahamu nalo.
Mashabiki wake watasafiri bure nini?Diamond bado tu hajaleta ndege yake aliyowaahidi mashabiki wake.
Hii tuiweke pale kwenye self esteem, maake najua hapo anahitaji respect tu and prestige.Hivi katika ile Hierarchy of Needs ya Abraham Maslow hii itakuwa stage gani wandugu?
Hizo ndio hali zetu mzee baba, kwani unafikiri hiyo 240bln ingepatikana bongo, ingehudumia wizara ngapi[emoji23][emoji23]Huku kwetu tukinunua hizo taifa zima linajikusanya na kukuta viuno uwanja wa ndege.
Mi nauliza kwani drake ni black, arab or latino?Miafrika ni malimbukeni awe Marekani au Nachingwea...
Badala kuwekeza anunue hisa za Amazon ananunua liability thing....
Subiri muda wake wa sanaa uishe afilisiwe abaki na buku jero mfukoni...
Aubrey Drake Graham was born on October 24, 1986, in Toronto, Ontario. His father, Dennis Graham, is an African American and a practising Catholic from Memphis, Tennessee, and worked as a drummer, performing alongside country musician Jerry Lee Lewis.Mi nauliza kwani drake ni black, arab or latino?
Naam kabisaaa Hapo amebakiza moja tu Self Actualization ambayo hatujui ni ipi labda kuwa Rais wa U.SHii tuiweke pale kwenye self esteem, maake najua hapo anahitaji respect tu and prestige.