Msanii atumia Tsh Bilioni 230 kununua ndege yake

Msanii atumia Tsh Bilioni 230 kununua ndege yake

Naomba kuuliza swali maana unaonekana unaufaham fulani hv, "hv kama unamiliki ndege gharama za kuipaking uwanjan yaan kama huna matumiz nayo unalipia au huwa zinaegeshwa tu maana wenzetu swala la kumiliki ndege ni jambo la kawaida sana, mfano hata huku kwetu tubavyoona fastjet je huwa wanalipia pindi zikikaa uwanja wa ndege au hata zikiwa zinataka kiruka na kutua ndo hilo tu naomba unijibu kama unaufahamu nalo.

Parking kawaida tu buku moja, ila ukipaki nje ya mstari fine Tsh 50,000/-

Au ukienda uwanja wa ndege utaone wale jamaa wanaovaa sare za kukata ticket wapo kama kawa, au hujawahi kuwaona..

Hali ya maisha ngumu sana aisee, hadi nmesahau nilikuwa nasema nni? Hiv uliuliza?😜
 
Msanii Drake atumia TSh. Bilioni 230 kununua ndege yake

Msanii wa muziki Marekani, Drake amethibitisha kumiliki ndege yake binafsi 'Air Drake' ambayo ni Model 767 yenye vyumba viwili vya kulala na logo zake zote za Ovo na Mikono yenye ishara ya maombi.

Kwenye video ya ndege hio anasikika Drake akisema 'Hakuna kukodi, Hakuna mmiliki mwenza'. Dili hili limewezeshwa na rafiki wa muda mrefu wa Drake ambaye ni Rais na Mkurugenzi mtendanji 'C.E.O' Wa Cargojet Airways Ajay Virmani.

Inadaiwa kuwa ndege hizi hutengenezwa kwa ada ya zaidi ya TSh. Bilioni 230. DJ Khaled alimpongeza Drake kwa hatua hii kwa kusema 'Hongera, nakumbuka uliniambia jambo hili miaka miwili iliyopita'.
fanyeni kazi
 
Miafrika ni malimbukeni awe Marekani au Nachingwea...

Badala kuwekeza anunue hisa za Amazon ananunua liability thing....

Subiri muda wake wa sanaa uishe afilisiwe abaki na buku jero mfukoni...
 
Naomba kuuliza swali maana unaonekana unaufaham fulani hv, "hv kama unamiliki ndege gharama za kuipaking uwanjan yaan kama huna matumiz nayo unalipia au huwa zinaegeshwa tu maana wenzetu swala la kumiliki ndege ni jambo la kawaida sana, mfano hata huku kwetu tubavyoona fastjet je huwa wanalipia pindi zikikaa uwanja wa ndege au hata zikiwa zinataka kiruka na kutua ndo hilo tu naomba unijibu kama unaufahamu nalo.
Ndege, inalipiwa inapopaki uwanjani (muda itakaoutumia ndiyo itaulipia) kuna gharama nyingi sanaaa za kutua na kupaa kwenye kiwanja cha JKNIA ila kwa wenzetu nafahamu gharama za kupaki, na kutua tu ni ghari kwelikweli.

Ndio maana flights nyingi za Emirates zinalala Dubai nyumbani kwao
 
Ni wa Canada sio USA. Utajiri wake dola milioni 140. Pengine itamsaidia kwa njia anazojua mwenyewe.
 
Miafrika ni malimbukeni awe Marekani au Nachingwea...

Badala kuwekeza anunue hisa za Amazon ananunua liability thing....

Subiri muda wake wa sanaa uishe afilisiwe abaki na buku jero mfukoni...
Mi nauliza kwani drake ni black, arab or latino?
 
Kusoma hujui inamaana hata picha huoni kile kipilipili kichwani?
Mi nauliza kwani drake ni black, arab or latino?
Aubrey Drake Graham was born on October 24, 1986, in Toronto, Ontario. His father, Dennis Graham, is an African American and a practising Catholic from Memphis, Tennessee, and worked as a drummer, performing alongside country musician Jerry Lee Lewis.
 
hapa tanzania nani ananunua? Joti au kiba au dogo Domo! au masanja wa kulimo kwanza? heheee mweee
 
Back
Top Bottom