Yalaaa, nimesikia maumivu badala yao... Mkuu vipi povu?Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu
Nywanoko benywe
LONDON BOY
DuhWanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu
Nywanoko benywe
LONDON BOY
Punguza mchecheto comrade 'msaniu' tenaAman iwe nanyi wakuu katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Msaniu wa kizaz kipya ambwene yesaya siku ya leo amafunga ndo na mkr wake mnyarwanda na ndo hiyo imefungwa kimila huko nchin rwanda
Mke wa msannii huyo ana master ya enginiaring
Watu hao wamedumu kwenye uchumba kwa muda wa miaka kumi sasa
Hongera AY kwa Kuoa Enginear .Aman iwe nanyi wakuu katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Msaniu wa kizaz kipya ambwene yesaya siku ya leo amafunga ndo na mkr wake mnyarwanda na ndo hiyo imefungwa kimila huko nchin rwanda
Mke wa msannii huyo ana master ya enginiaring
Watu hao wamedumu kwenye uchumba kwa muda wa miaka kumi sasa
Ohnywan'o nyandembhe.......Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu
Nywanoko benywe
LONDON BOY
Hahaaahaaaa......Miaka kumi!!!!! Ngoja nilale kwanza
Punguza mchecheto comrade 'msaniu' tena
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Enginiaring