ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Huyo ay Kazaa nae lakini1. Ben Pol - Chali (Kenya)
2. Kibakuli - Chali(Kenya)
3.Yesaya - Chali(Rwanda)
Ila kweli kuoa mtu nje ya jamii yako kumatch inakuwa ngumu sana ,imagine AY ni bilionea ,mkewe mzuri why hawajaendana? Inakuwaje ghafla tu mkewe awe na boyfriend mpya na waende paris ,means mkewe alikuwa kicheche.