Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Wasichana wa kawaida sana hao wazur wapo kila kona watutsi wako overrated sana maana hawajiheshimu ni watu wa maonyesho nenda Ethiopia kaone wanavyojitanda utajua wapi wazuri...hao uliotaja ni wale wa Kick za kimtandao na Wana mtandao mrefu kweny sex tourism kwanza kujiheshimu tu balaa Kun page inaitwa Kigali news utaona wanajiuza
Hawa wamatumbi wenzetu wa hapa bongo hawajiuzi?
 
IMG_0658.jpg

Muda mwingine wanaume tunalaumiwa bure tu wanawake kama hawa kweli unaweza kuacha kuoa akikubali? Mambo ya kuachana ni matokeo hata wabaongo kwa wabongo wanaachana tu sema kasumba yetu watanzania tunafurahishwa na matatizo ya watu wengine hasa tunaowafahamu kuanzia familia hadi jamii, mtanzania anachukua muda mrefu sana kukupa pole lakini kama ni jambo la kukupa hongera atachukua muda mfupi mno kwa roho yake mbaya ya kichawi.
 
Brother, ndoa zinavunjika kila mahala duniani. Watu wanaachana iwe Tanzania, au Somalia. It rains everywhere!

Hoja yetu sisi, ni kwamba mtu aoe mwanamke anaempenda. Awe mnyarwanda, awe mmatumbi au mzanaki. Kula kitu roho inapenda!
Sikupinga ila Kuna mitigation factors angalau ifike miaka mingi...huyo mwanamke na yule ya Ali kiba wote ni wajuaji na wazee wa kuruka viwanja
 
Brother, ndoa zinavunjika kila mahala duniani. Watu wanaachana iwe Tanzania, au Somalia. It rains everywhere!

Hoja yetu sisi, ni kwamba mtu aoe mwanamke anaempenda. Awe mnyarwanda, awe mmatumbi au mzanaki. Kula kitu roho inapenda!

Kabisa tusipangiane na watu wanapotosha sana ili ionekane wanawake wa bongo wanadumu kwenye ndoa kumbe sio kweli
 
Hahahah, wanawake wa kitutsi wazuri bwanaa. Hebu mwangalie K-LYN. Hivi unadhani kwanini Mzee wetu Mengi aliwaacha wakina Madam Rita akamuoa Jackie ???

Watu wameanza kumponda AY kwamba kwanini kaoa Rwanda, ilhali wamesahau kwamba mama yake AY naye ni Tutsi. Wana nongwa kweliiii.....
Kumbee mam ake Ni mtutsi bhna vzr ila wandewa wanasema ameshapokea za uso ila uzuri yule jama hakututambia huku mtandaoni alijikausha ndio maan hat ishu yake haijafahamika
 
Back
Top Bottom