Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Kwa kweli mi bado sijawai kubabaika na race tofauti na ya Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23] mi huwaga hata hao wakina Kim Kardash siwaoni uzuri wao kabisa!!!! Napenda wanawake w Tanzania yaani wamachangamka hata kama ni maskini tofauti na wengine ....kama dsm hapa wanawake wajanja mpaka mzuka
Kbsa yaani dar Kuna pisi balah lkn mijitu inakimbilia rwandaa kuoa bully shiti
 
Kumbee mam ake Ni mtutsi bhna vzr ila wandewa wanasema ameshapokea za uso ila uzuri yule jama hakututambia huku mtandaoni alijikausha ndio maan hat ishu yake haijafahamika
Mazee, wanawake wa kitutsi ni wazuri mno, hili liko wazi kabisa. Hayo mengine ni wivu na majungu tu. Humu ndani hata wanawake wa kichagga huwa wanasimangwa sana, lakini ndiyo wanaongoza kwa kuolewa.

Watu hawajali makabila, wanaoa wanakotaka na huwezi kuwapangia maisha. Karne ya 21 hii......
 
Sasa Dina, kwani wabongo ndio hawaachani?

Tujitahidi tu kuheshimu maamuzi ya watu wengine, waliamua wao kuwa pamoja na kupata mtoto na sasa yamewashinda kila mmoja kaamua kula 50 zake

Mzee mwenzangu yakwako bado Iko imara au shake well before use? Ndoa zinapita wakati mgumu sana hichi kipindi.
 
Tofauti iko mkuu yan km hauko imara unaweza ukatema wazungu kwa mapaja watoto wanajoto hatari ...yan ukishaanza kusogea eneo la hifadhi tuu..........

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,nahisi kama mambo mengine ni akili yako tu inakutega,kwa uzuri wa sura na muonekano ni kweli wazuri haswa ila hayo mengine ngoja nisubiri na wadau waseme
 
Safi sana. Ni jambo la kheri Kaka.
Nafurahi Kwa hizo taarifa nzuri.

Huyu Mwamba AY hakua mtu wa makuu na so humble tukiwa shule, ni Bahati mbaya sana wimbi na dhoruba vimeengua na kusomba ndoa yake

Naam kwa kumtazama Ambwene anaonekana si mtu wa makuu, bila shaka hili atalivuka salama...
 
Mwaka huu nimewekwa kikao mara mbili na wazee. Unaoa lini?

Nikiingia JF, nakutana na walimwengu na nyuzi zao "Vijana msioe".

Yani tafrani tupu. Ila sina budi kuyavaa mabomu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
😂😂😂😂😂 jf inakuchanganya kila sehem usioe wakati wao wanaoa kimya kimya kimya,achana nao usisikilize ya jf humu watu ni mashujaa wa keyboard
 
Nimejisikia vibaya jaman hawa love birds kuachana.Taasisi ya ndoa ina mapito sana..haijalishi umeoa au umeolewa na jamii ipi ni kuomba tu Mungu yasikukute maana hakuna anayependa kuachana bwana.Ndoa tamu..
 
View attachment 2386813
Muda mwingine wanaume tunalaumiwa bure tu wanawake kama hawa kweli unaweza kuacha kuoa akikubali? Mambo ya kuachana ni matokeo hata wabaongo kwa wabongo wanaachana tu sema kasumba yetu watanzania tunafurahishwa na matatizo ya watu wengine hasa tunaowafahamu kuanzia familia hadi jamii, mtanzania anachukua muda mrefu sana kukupa pole lakini kama ni jambo la kukupa hongera atachukua muda mfupi mno kwa roho yake mbaya ya kichawi.
Mna wa overrate Sana kiukweli.hapo Sasa Kuna Maajabu yepi Tanzania hayapo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf inakuchanganya kila sehem usioe wakati wao wanaoa kimya kimya kimya,achana nao usisikilize ya jf humu watu ni mashujaa wa keyboard
Walimwengu hawakosi la kusema. Ngoja nipambane na hali taratibu!
 
Back
Top Bottom