Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Wakikwambia uoe Somalia utakataa ???
Kwa kweli mi bado sijawai kubabaika na race tofauti na ya Tanzania 😂😂😂 mi huwaga hata hao wakina Kim Kardash siwaoni uzuri wao kabisa!!!! Napenda wanawake w Tanzania yaani wamachangamka hata kama ni maskini tofauti na wengine ....kama dsm hapa wanawake wajanja mpaka mzuka
 
Visit Rwanda
Screenshot_2022-02-11-20-58-38-74.jpg
 
Kwa kweli mi bado sijawai kubabaika na race tofauti na ya Tanzania 😂😂😂 mi huwaga hata hao wakina Kim Kardash siwaoni uzuri wao kabisa!!!! Napenda wanawake w Tanzania yaani wamachangamka hata kama ni maskini tofauti na wengine ....kama dsm hapa wanawake wajanja mpaka mzuka
Ni vizuri kuoa mtu ambaye unavutiwa naye......
 
Back
Top Bottom