Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
AY.jpeg

Aman iwe nanyi wakuu katika bwana. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.

Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yesaya siku ya leo amafunga ndo na mpenzi wake mnyarwanda na ndio hiyo imefungwa kimila huko nchin Rwanda

Mke wa msanii huyo ana shahada ya uzamili ya uhandisi.

Watu hao wamedumu kwenye uchumba kwa muda wa miaka kumi sasa.

VIDEO

1.jpeg
2.jpeg
3.jpeg
 
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Msaniu wa kizaz kipya ambwene yesaya siku ya leo amafunga ndo na mkr wake mnyarwanda na ndo hiyo imefungwa kimila huko nchin rwanda

Mke wa msannii huyo ana master ya enginiaring

Watu hao wamedumu kwenye uchumba kwa muda wa miaka kumi sasa
Punguza mchecheto comrade 'msaniu' tena
 
Wamekusikia ban, wacha waendelee kurudusha miaka nyuma na kuigandisha ili wasionekane wakongwe!!.

Watu wanapenda Umri mdogo [emoji23][emoji23] achen aiseee... Kuna watu miaka nenda miaka rudi wapo 20s hahahaah
 
IMG_20180210_230703.jpg
Rapper Ambwene Yessayah maarufu kama AY amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy.Wawili hao wamefunga ndoa leo nchini Rwanda ambako ndipo anatokea Remy. Bado AY au watu wake wa karibu hawajaposti katika mitandao ya kijamii kuelezea hilo.
July mwaka jana, 2017 ndipo AY alimvisha pete ya uchumba Remy na tukio hilo ilihudhuriwa na watu wa karibu wa wawili hao.
 
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Msaniu wa kizaz kipya ambwene yesaya siku ya leo amafunga ndo na mkr wake mnyarwanda na ndo hiyo imefungwa kimila huko nchin rwanda

Mke wa msannii huyo ana master ya enginiaring

Watu hao wamedumu kwenye uchumba kwa muda wa miaka kumi sasa
Hongera AY kwa Kuoa Enginear .
 
Back
Top Bottom