KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mke ambaye si halali kwako huna hata haki ya kumzika, msiba unakuwa kwao na wanazika kwao wewe unakwenda kama muombolezaji tu
Hiki ni kipindi cha aibu sana humkuta mwanaume mbele ya rafiki zake ambao mwanzoni walijuwa hawa ni mke na mume halali.
Huo ni mfano mmoja tu kati ya mingi ya kuhalalisha ndoa, mambo mengine ni kama beneficiary wanandoa upande wa makazini na kwenye bima za afya.
Mfano hai mimi natumia zaidi bima ya afya ya kutoka ofisi ya wife kuliko ya kutoka ofisini kwangu, wao ya kwao mpaka Agha khan is accepted.
Kwa uchache hayo ni baadhi ya mambo yanayosababisha watu kuoa wake zao.
Wewe ni miongoni mwa watu wachache wenye maarifa na ufahamu mkubwa humu JF
I APPRECIATE