Wabongo tuache chuki zisizo na mpango, kwa nini hautaki kukubali mbudya ni mali ya AY...watanzania ndio maana hatuendelei.Sijawahi kufika huko mbudya wala sijui kina ukubwa gani hicho kisiwa.
Inawezekana hata kakodi ili awekeze hicho afanyacho
Ni ngumu sana kupata info za Ay.
Ila nilisoma interview yake na bongo5,alisema mwaka huu ana ndoto za kununua yacht.
Ila kusema ana miliki mbudya yote ni0.1% ya ukweli
Wabongo tuache chuki zisizo na mpango, kwa nini hautaki kukubali mbudya ni mali ya AY...watanzania ndio maana hatuendelei.
Mie sina hata kibito so km una Range,umefanikiwa sana...hongera AY,tuombeane heri na tuache wivu jamani hata km alinunua kwa milion kumi ni pesa yake aliitolea jasho hukumpa bure.
kwani unafikiri kuna mtu ana tatizo na hilo dada? hivi wewe siku unanunua hiyo phoenix, ulitafuta wapambe wa kupita mtaani kukusifia kwamba una mafanikio makubwa sana? baiskeli ni nyenzo yako ya usafiri tu, ule mradi wako wa kufuga sungura kule mkatiti naona sasa unasupply nyama ya sungura katika hotel zote kubwa, lebo yako haikosekani kwenye majokofu ya supermarkets zote bongo, pia wale wachina waliokupigia simu wanakuuliza kama unao uwezo wa kusuuply tani kumi za nyama kwa wiki naona wanakupa changamoto inabidi upanue shamba au ushawishi wanakijiji wenzako waanze ufugaji ununue kutoka kwao...hayo ni mafanikio na hayahitaji kunadiwa yanajinadi yenyewe.