B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Ila mkuu mbona dungamawe topic iliisha tangu alivyozaliwa mpka kufaπYaaan kuna Bando , kuna kontawa...
An wale kutembea na topic hawawezi dadek zao πππ
Mkuu kuna mtindo flan wanaimba hawa madogo unaona kabisa huyu ana pick mistari kwenzi sio kwenda na mada....Ila mkuu mbona dungamawe topic iliisha tangu alivyozaliwa mpka kufaπ
Wabadili flow style na mistari
" mtu alietoboa sana alitoboa sikio"
" unaweza kuishi Tabata ila husile bata"
" unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K"
Ningempendekeza Saigon. jamaa angewachakaza popote muda wowote jukwaa lolote, Diss tracks zinaendana na battle mcs marapa wa michuano-mashindano. Na kwangu mie huyo angesimamisha bendera.NIKuulize swali.
Tuseme Nasty C au Sarkodie katu DISS wabongo. Ww utamleta Rapper/mwana hiphop gani amjibu. ?
Tupe msanii wako unaeona ana uwezo na skills za kujibu
Kuna mtu anaitwa P 1, alitisha sana na nini mnataka mazee, ngoma haikuwa na ujumbe zaidi ya mad delivery skillz na beat ya ujazo. Hakuna ngoma ilikaa mbele yake. Hard to the core ila ilikaa kwenye airwaves kwa mda mrefu sana.Bongo wanapenda sana Rap/ Hiphop inayotoa message/ujumbe kwenye jamii. ila ukisema U flow tu na beat watu wa VIBE bila ku deliver message yoyote hawakuelewi..
Ngoma zenye ujumbe/message zinapendwa na kupokelewa vizuri kuliko za ku VIBE
Mfano
Rapcha _ lisa = ilipokelewa vizur kuliko unaua vibe
Duuh aisee sio mbaya kuliko kukosa kabisa.Wanasema Rap hailipi bora waimbeπ
Kama meneja wa countryboy kaamua amkimbie show y mkoani promoter anawalip laki 8. Kweli Rap haina hela Africa
Kwa wasanii wa hip-hop wa sikuhizi kina manengo, kontawa, billnas na young Lunya bando bado n mkali ...Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.
Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea topic yake. Nikiona mtu mzima anayejielewa anasikiliza Ngoma za bando Mc basi mimi humpokonya heshima niliyomkabidhi bila kupepesa macho.
Bando Mc ana-rap kitoto hivyo aendelee kuwadanganya watoto wenzake.
Ni hayo tu.
Tuwakazanie huu upamvu huishe
π asha achana n mishe za kuimba sikuizi anapig interview za ualimuKuna yule anaitwa bonge la nyau sijui nae mnamuweka kama rapper au vipi
Tupe maoni yako hapaKuna yule anaitwa bonge la nyau sijui nae mnamuweka kama rapper au vipi
KabisaAjui hata kidogo ajuiiii ajuiiiii πππππ
HakikaIla mkuu mbona dungamawe topic iliisha tangu alivyozaliwa mpka kufaπ
Wabadili flow style na mistari
" mtu alietoboa sana alitoboa sikio"
" unaweza kuishi Tabata ila husile bata"
" unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K"
Tupe maoni yakoHakika
Maoni yenu yanaitsjika wa JF