Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Nimejifunza mbongo anaesikiliza sana ngoma za nje. Za rap game ya marekani (kina JayZ , Kanye, Rick ross, Kendrick, Lil wayne, Quavo na nk) ni vigumu sana kum Convince awasikilize wasanii wa Rap industry ya bongo. Atawaona hawana kitu

Tofauti na yule mtu anaewasikilizaga wasanii wa Hiphop indusry ya bongo ( kina Bando, kontawa, Nacha na nk) kum convince kua wasanii anaowasikiliza hawana maajabu hatakuelewa kabisa
 
Yaaan kuna Bando , kuna kontawa...
An wale kutembea na topic hawawezi dadek zao 😂😂😂
Ila mkuu mbona dungamawe topic iliisha tangu alivyozaliwa mpka kufa😂

Wabadili flow style na mistari
" mtu alietoboa sana alitoboa sikio"
" unaweza kuishi Tabata ila husile bata"
" unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K"
 
Ila mkuu mbona dungamawe topic iliisha tangu alivyozaliwa mpka kufa😂

Wabadili flow style na mistari
" mtu alietoboa sana alitoboa sikio"
" unaweza kuishi Tabata ila husile bata"
" unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K"
Mkuu kuna mtindo flan wanaimba hawa madogo unaona kabisa huyu ana pick mistari kwenzi sio kwenda na mada....

Hata hiyo dunga mawe isikilize vizuri utaona jamaa kuna mistari anawekea mkazo ambayo ni non na topic husika...

Wanaimba ile hiphop ya madogo wa mitaani... Sasa hiyo ni kitambo hicho sio sasa...
 
NIKuulize swali.
Tuseme Nasty C au Sarkodie katu DISS wabongo. Ww utamleta Rapper/mwana hiphop gani amjibu. ?
Tupe msanii wako unaeona ana uwezo na skills za kujibu
Ningempendekeza Saigon. jamaa angewachakaza popote muda wowote jukwaa lolote, Diss tracks zinaendana na battle mcs marapa wa michuano-mashindano. Na kwangu mie huyo angesimamisha bendera.
 
Bongo wanapenda sana Rap/ Hiphop inayotoa message/ujumbe kwenye jamii. ila ukisema U flow tu na beat watu wa VIBE bila ku deliver message yoyote hawakuelewi..
Ngoma zenye ujumbe/message zinapendwa na kupokelewa vizuri kuliko za ku VIBE

Mfano
Rapcha _ lisa = ilipokelewa vizur kuliko unaua vibe
Kuna mtu anaitwa P 1, alitisha sana na nini mnataka mazee, ngoma haikuwa na ujumbe zaidi ya mad delivery skillz na beat ya ujazo. Hakuna ngoma ilikaa mbele yake. Hard to the core ila ilikaa kwenye airwaves kwa mda mrefu sana.
 
Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.

Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea topic yake. Nikiona mtu mzima anayejielewa anasikiliza Ngoma za bando Mc basi mimi humpokonya heshima niliyomkabidhi bila kupepesa macho.

Bando Mc ana-rap kitoto hivyo aendelee kuwadanganya watoto wenzake.

Ni hayo tu.
Kwa wasanii wa hip-hop wa sikuhizi kina manengo, kontawa, billnas na young Lunya bando bado n mkali ...

Ila usijaribu kuwalinganisha na kizazi cha dhahabu cha kina Langa na Nigga Jay ni aibu...

Kuna ngoma yake Moja Inaitwa Homa part 1 alijitahidi japo alikua ananikera na hiyo mistari ya kuchekesha hiyo ngoma kajitahidi sana kwenye kunata na beat pia alirap vizuri..
 
Kuna yule anaitwa bonge la nyau sijui nae mnamuweka kama rapper au vipi
Tupe maoni yako hapa
 
Ila mkuu mbona dungamawe topic iliisha tangu alivyozaliwa mpka kufa😂

Wabadili flow style na mistari
" mtu alietoboa sana alitoboa sikio"
" unaweza kuishi Tabata ila husile bata"
" unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K"
Hakika
 
Maoni yenu yanaitsjika wa JF
Maoni yenu yanaitajika hapa
 
Back
Top Bottom