B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Nimejifunza mbongo anaesikiliza sana ngoma za nje. Za rap game ya marekani (kina JayZ , Kanye, Rick ross, Kendrick, Lil wayne, Quavo na nk) ni vigumu sana kum Convince awasikilize wasanii wa Rap industry ya bongo. Atawaona hawana kitu
Tofauti na yule mtu anaewasikilizaga wasanii wa Hiphop indusry ya bongo ( kina Bando, kontawa, Nacha na nk) kum convince kua wasanii anaowasikiliza hawana maajabu hatakuelewa kabisa
Tofauti na yule mtu anaewasikilizaga wasanii wa Hiphop indusry ya bongo ( kina Bando, kontawa, Nacha na nk) kum convince kua wasanii anaowasikiliza hawana maajabu hatakuelewa kabisa