Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Ninaowatetea ni kina nani na ni vichwa vibovu kwa nini?

Mimi naongelea abstract idea, sijatetea mtu.

Hakuna original idea katika rap, labda kuna original expression of an idea.

Leo 2024 uta rap kipi kiwe an original idea?
 
Exactly.
 
Nambie wewe Dear Gambe uliisikia wapi?
 
Exactly.
 
Nimemuelewa sana tu, ninachopinga mimi ni ile kwamba Msanii bila Copy basi hana kitu kipya cha kubuni na kikahit. Hii me naikataa ni lazima msanii awe na fikra mpya japo si mara zote.
Hamna idea mpya duniani watu kilichopo ni ubunifu tu

Hiyo dear Mama ya 2PAC hayo mashahiri kuna nyimbo inafanana na hiyo na imetoka kabla ya dear mama ya Pac
 
Hamna idea mpya duniani watu kilichopo ni ubunifu tu

Hiyo dear Mama ya 2PAC hayo mashahiri kuna nyimbo inafanana na hiyo na imetoka kabla ya dear mama ya Pac
Itaje basi twende kwa ushahid maana mmekomalia sana hakuna jambo jipya.
Afu nikupebna idea zingine mpya unambie wasanii hao wamezicopy wapi
 
Kuna rafiki yangu kwenye simu yake kajaza nyimbo zake, ili urafiki wetu usivunjike nikawa natembea na pamba za masikioni na Kila aliipopiga ngoma yoyote ya Bando basi mi niliweka pamba masikioni kwa kisingizio cha kusumbuliwa na masikio.
Wivu utakusaidia nini kwa jamaa?
 
Sasa Isikilize Sir God ya Bando MC halafu chukua Muda nenda kaisikilize Dear God ya Dax..

Its Like Sir God ni "Dear God 2.0"..

Kuanzia Outro,Intro mpaka Maneno
Mbona kama Sir God ya Bando ni ya a hopeful believer na Dear God ni ya skeptic mwenye hasira na Mungu?
 
Freestyle wangapi wanafanya? Niambie usa wakali wa freestyle ambao ni ma mc wakubwa, u can have mad freestyle skills na watu wasikitambue na ukawa flat rapping skills na watu wakaenda nawe, kina 50 cent wameenda mjini na wala sio ma freestylist wa kutisha
 
Si kila mtu anataka kufanya unavyotaka wewe, labda yeye naye hiyo ndiyo style yake.

Mbona Profesa Jay anaflow hivyo hivyo siku nyingi na watu wamemkubali kuwa hiyo ndiyo style yake?
Na ndio icon wa Tz rap scene
 
Nyie mnaozungumzia idea Mpya ndo mnakosea kabisa
Itaje basi twende kwa ushahid maana mmekomalia sana hakuna jambo jipya.
Afu nikupebna idea zingine mpya unambie wasanii hao wamezicopy wapi

Nenda YouTube andika dear mama version one.
 
Pia hata jay z forever young ilishaimbwa so kinachotokea ni creativity
 
Ishu ya Rap industry ya marekani ni tofauti na Africa . Wale wana East coast na west coast wanawasapoti rapper wao kwa njia yoyte ile kisa wanaiwakilisha sehemu wanayotoka.
Ixhu ya freestyle ni kuwa na full package ya skills (gifted). Imagine rapper una mkurupua sahvi anachana hapohpo mistari automatic inatoka kichwani na mwingine ukimwambia tupe mistari anaimba aliyoiandika au apewe muda akae chini ndo aandike.
Ishu ya kupendwa ila hujui ku freestyle ni love ya watu . Mimi nazungumzia Full package Rapper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…